Perfumes set za kike na kiume

oriflametz

Member
Joined
May 31, 2016
Posts
47
Reaction score
12
Habari wana jf,
Nauza seti za perfume za kike na kiume.. Seti moja kubwa inakua na vitu vitano...
Kwa seti za kike, inakua na perfume, spray, sabuni, poda na lotion..
Kwa seti za kiume, kunakua na sabuni ya maji na ya kipande, spray, perfume na aftershave balm..
Zipo seti ndogo pia zenye bidhaa nne..
Zinapatkana kwa 25000 jumla kuanzia piece 10 kwa seti kubwa na rejareja 28000
Set ndogo 21000 jumla kuanzia piece 10 na rejareja 25000... Napatkana dar na mikoani natuma pia... Ambae anahitaji ani pm
Karibuni..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…