Perfumes for HER and HIM

Perfumes for HER and HIM

Doltyne

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
440
Reaction score
173
SALE***SALE***SALE
Perfumes from the UK.

FOR HER
E.Arden , Arden Beauty EDP 100mls Price 100,000 Tshs
E.Arden 5th Avenue Style EDT 125mls Price 100,000 Tshs
Hugo Boss, Boss Orange EDT 75mls Price 120.000 Tshs
Tommy Hilfiger, Tommy Girl EDT 100mls Price 110,000 Tshs
Calvin Klein, Euphoria EDP 50mls Price 150,000 Tshs
Calvin Klein, Escape EDT 100mls Price 120,000 Tshs

FOR HIM

Calvin Klein, Obsession EDT 125mls Price 130,000 Tshs
Carolina Hererra, 212 Men EDT 100mls Price 200,000 Tshs (SOLD OUT)
Joop Go EDT 100mls Price 120.000 Tshs
Ralph Lauren, Polo EDT 59mls Price 150,000 Tshs (SOLD OUT)
Davidoff, Cool Water Blue 125mls Price 130,000 Tshs
Davidoff, Cool Water Blue Gift Set 40mls (contains EDT Perfume 40mls, Shower GEl 50mls and After Shave Cream 75mls) Price 100000 Tshs Only
Jean Paul Kokorico 50mls Price 175,000 Tshs (SOLD OUT)
Paco Rabanne. XS 50mls Price 100,000 Tshs
Davidoff, Adventure EDT 100mls Price 130,000 Tshs

advt.jpg

TO ORDER YOURS OR ANY OF YOUR DESIRED PERFUMES, Please Call/TxT/WhatsApp 0714881500...
NB: I am Anticipating to having the next batch of perfumes at the beginning of next month (Dec 2012).

VISIT OUR ONLINE SHOP: www.Uturishop.com
 
Shukran, lakini next time naomba ikileta mzigo utukumbuke wapenzi wa Gucci (Guilty/Sports).
 
Mie nataka Jean Paul ya wanawake unayo?? Kama jina nimekosea pole
 
Mie nataka Jean Paul ya wanawake unayo?? Kama jina nimekosea pole

Hujakosea jina dadaangu, Jean Paul Gaultier za kike zipo nyingi, je unataka ipi? Classique, Ma Dame au?
Kwa sasa sina hizo ila ukihitaji Weka tu Order. Utaipata Tar 2 Dec Mungu akipenda.

Karibu sana.
NB: Jisikie huru kupiga simu na kuweka order ya perfume yeyote uitakayo.
 
Shukran, lakini next time naomba ikileta mzigo utukumbuke wapenzi wa Gucci (Guilty/Sports).
Mkuu Gucci Guilty Nimekuletea 90mls Gift Set. Bei 200,000 tu. Karibu sana.
Nitafute kwenye 0714881500
 
Dah hakuna ata ya wekundu!
nahisi mumenitenga maana bajeti yangu max 20000
 
Dah hakuna ata ya wekundu!
nahisi mumenitenga maana bajeti yangu max 20000
Pole sana, hakuna designer perfume ya bei hiyo hata zikiwa kwenye sale. Kwani elf20 ni kama dola 12 tu.
 
Haya bana hiyo bei napata bati kama 7 hivi halafu nakuja kukupangisha wewe unayenunua 170,000 na wengine utakuta ana simu ya 1m lakini hata kitanda hana analalia cha familia
 
Haya bana hiyo bei napata bati kama 7 hivi halafu nakuja kukupangisha wewe unayenunua 170,000 na wengine utakuta ana simu ya 1m lakini hata kitanda hana analalia cha familia

Dunia Yako Chaguo lako. Kila mtu na vipaumbele vyake, Kuna wanaotaka kusubiri mpaka wapate hela ya kujenga gorofa na wakafanya kazi kwa bidii mpaka wanafikia malengo hata kama ni baada ya miaka 10, na kuna wanaojenga Nyumba za milioni 20 kwakuwa ndio malengo yao. Kinadharia, aliyejenga gorofa baada ya miaka 10 atakuwa anaishi better place na aliyewahi kujenga nyumba kwa mil20 huenda akawa anarepair Nyufa na Mabati yaliyovuja... Vipaumbele Muhimu Sana Mkuu.
Kuna wanaotumia Gadget za bei za Vifaa vya ujenzi lakini zinawaingizia vipato, na kuna waouzia sura... Kila mtu na malengo yake maishani.
 
Dunia Yako Chaguo lako. Kila mtu na vipaumbele vyake, Kuna wanaotaka kusubiri mpaka wapate hela ya kujenga gorofa na wakafanya kazi kwa bidii mpaka wanafikia malengo hata kama ni baada ya miaka 10, na kuna wanaojenga Nyumba za milioni 20 kwakuwa ndio malengo yao. Kinadharia, aliyejenga gorofa baada ya miaka 10 atakuwa anaishi better place na aliyewahi kujenga nyumba kwa mil20 huenda akawa anarepair Nyufa na Mabati yaliyovuja... Vipaumbele Muhimu Sana Mkuu. Kuna wanaotumia Gadget za bei za Vifaa vya ujenzi lakini zinawaingizia vipato, na kuna waouzia sura... Kila mtu na malengo yake maishani. Ukishaezeka, Karibu Tunukie kama Baba wenye Nyumba... LoL[MBONA MAWAZO YAKO NI CHANYA KIASI HICHO? YAANI UNASHAURI WATU WAENDE KUNUNUA VITU KAMA PAFUMU KANA KWAMBA NI VITU VYA ULAZIMA WAKATI KUNA VITU MUHMU? ACHA UZANDIKI KUNA HAJA GANI YA KUNUKIA VZUR WAKATI HUNA KITANDA? POLE ZAKO WALIOWEREFU WATAKUPOTEZEA TU!
 
Hebu nambie kati ya zote ulizotaja ipi ndo babkubwa hapo yani ipi ndo ya ukweli mwanawane?
 
Hebu nambie kati ya zote ulizotaja ipi ndo babkubwa hapo yani ipi ndo ya ukweli mwanawane?

Naweza kushauri Gucci Guilty Mkuu. Japo zote ni za Ukweli. Nipigie tuongee. Niko Busy Kidogo Siingii Sana JF.
 
Dunia Yako Chaguo lako. Kila mtu na vipaumbele vyake, Kuna wanaotaka kusubiri mpaka wapate hela ya kujenga gorofa na wakafanya kazi kwa bidii mpaka wanafikia malengo hata kama ni baada ya miaka 10, na kuna wanaojenga Nyumba za milioni 20 kwakuwa ndio malengo yao. Kinadharia, aliyejenga gorofa baada ya miaka 10 atakuwa anaishi better place na aliyewahi kujenga nyumba kwa mil20 huenda akawa anarepair Nyufa na Mabati yaliyovuja... Vipaumbele Muhimu Sana Mkuu. Kuna wanaotumia Gadget za bei za Vifaa vya ujenzi lakini zinawaingizia vipato, na kuna waouzia sura... Kila mtu na malengo yake maishani. Ukishaezeka, Karibu Tunukie kama Baba wenye Nyumba... LoL[MBONA MAWAZO YAKO NI CHANYA KIASI HICHO? YAANI UNASHAURI WATU WAENDE KUNUNUA VITU KAMA PAFUMU KANA KWAMBA NI VITU VYA ULAZIMA WAKATI KUNA VITU MUHMU? ACHA UZANDIKI KUNA HAJA GANI YA KUNUKIA VZUR WAKATI HUNA KITANDA? POLE ZAKO WALIOWEREFU WATAKUPOTEZEA TU!

Sio Kila kitu kipo kwa ajili ya kila mtu, Kama Kula tu Inamsumbua mtu, akija kununua perfume na nafahamu hali yake sintomuuzia.
Sidhani kama kuna mwenye akili timamu analala chini na anatumia perfume ya laki mbili. Lazima akapimwe huyo, si mzima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom