my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
😂 Wewe huna siri nyingine zaidi ya hiyo tu.mimi wakisoma sms zangu watakutana na vitisho vya watu wa tala na branch tu,,,,,,,,
deni lenyewe ni 10k,,,,,
Kivipi?Kumbe hadi wenzetu hawana akili
Kivipi?
Wapo kweli watu wa aina hiyo hasa wazungu wana amini. Mimi nilikuwa na bf mwanzoni tu ya relationship akaniambia sitaki uongo au siri kati yetu. Mara ya kwanza nilijuwa anasema tu kumbe mwenzangu yuko serious. Kweli alikuwa anifichi kitu. Na alikuwa muwazi sana Sometimes nilikuwa najisemea mwenyewe kwani lazima aniambie. Na mimi nikawa namwambia yangu hata nikimuongopea alikuwa anaamini. Aliniamini sana kiasi hata nikimwambia uongo anaamini na wala haoneshi kutoniamini.Yani wenyewe kwa akili zao fupi wakaamini kwamba mtu anaweza kukwambia mambo yake yoye anayoyafanya thubutuuuuu hasa kwenye simu..
Ina maana hawaelewi maana ya neno privacy? Wajinga kweli hao
Ya kifaransa inapatikana netflix with english subtitles kwa Jina la nothing to hide. Kama kweli wewe ni muamnifu basi hongera ila mara nyingi watu kama nyie huwa hampati watu sahihi. Wewe mchunguze mwenzako utagundua tu.Sipendi kuangalia movie zenye tafsiri ya maandishi, ubongo unakuwa na kazi nyingi kufatilia maneno ba uyatafsiri kwa lugha yangu ya kibantu kisha ufatilie na movement...
Wakitoa yenye tafsiri ya kiingereza ntaitazama.
With my phone, Dadii can have it for a whole year na siku ananirudishia atanitungisha mimba tuu. Sinaga mipango ya kando.
Yake sihitaji kuwa nayo, namhitaji yeye zaidi ya kujua anafanya nini nje ya upeo wa macho yangu.
Moyo wa mtu kichaka..
Wapo kweli watu wa aina hiyo hasa wazungu wana amini. Mimi nilikuwa na bf mwanzoni tu ya relationship akaniambia sitaki uongo au siri kati yetu. Mara ya kwanza nilijuwa anasema tu kumbe mwenzangu yuko serious. Kweli alikuwa anifichi kitu. Na alikuwa muwazi sana Sometimes nilikuwa najisemea mwenyewe kwani lazima aniambie. Na mimi nikawa namwambia yangu hata nikimuongopea alikuwa anaamini. Aliniamini sana kiasi hata nikimwambia uongo anaamini na wala haoneshi kutoniamini.
Sio kukosa akili ni misingi yao waliojiwekea, wakiwa na mtu wao wa karibu kunatakiwa kusiwe na siri kati yao. Na ikitokea usimwambie halafu akaja kujuwa mwenyewe hata ukaribu au urafiki wenyewe unaweza kuisha.Huyo bf naye hana akili nawewe mkuu ilibaki kidogo ukose akili bahati yako wewe ulikua unamdanganya