Haya ndio mapinduzi yanayotakikana. Kama kweli itakuwa Perestroika Glasnost, basi kama Gorbachev, Muungwana itabidi alale mbele na serikali yake yote kwa faida ya umma. Kwa wale watakaouliza nani akaimu Urais? Well, wapo wengi, majaji wastaafu (Samatta,Kisanga,etc) au hata Shein anaonekana kutokuwa corrupted na siasa.