Peramiho na mbunge wake

zulu12

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
58
Reaction score
11
salam mwa walongo wangu,

Kwa ukweli inatia aibu sana kumuona huyu mbunge wa Peramiho akilandalanda kwenye kkolido za mjengoni huku akitembea kwenye tiles safi huku akiacha utafikiri aoni jimbo lake lilivyo duni ,hana msaada wowote kusema kule bungeni asemi eti kwa kuwa yeye ni mwenye kiti wa bunge ,tunakuuliza hivi ,hivi tulikupa kula ili ukatetee hicho chama chako cha magamba,wanaperamiho tunasema kaa bungeni fanya kazi na uisemee Peramiho watu wamechoka sana,mbolea tabu,zana za kilimo tabu ukiangalia barabara za jimboni mwako hoi.

Nawataka wana Ruvuma wenzangu tuamke na tushikamane huyu mbunge imetosha ,maana hiyo miaka kumi aliyokaa amenufaika yeye na si wanaperamiho wala wanaruvuma
.
 
Huyu mama akiwaanaitetea ccm anatamani hata kuvua gauni bungeni lakini sio wananchi wa peramiho kwa mara ya kwanza chadema wamechukua kata 2 MWAKA 2010,kwenye jimbo la peramiho ajiulize mwaka 2015 ataachia kata ngapi????na watu wameshachoka wanakwenda dodoma kutetea ccm badala ya wananchi wa ruvuma maisha mabaya pembejeo hakuna,soko la mazao hakuna,yeye anatamani kuvua nguo bungeni kwa ajili ya kutetea serikali harudi huyo sio yeye tu wengi hawatarudi ruvuma 2015 songea mjini ndio kabisa tunataka kutoa kisago cha mbwa mwizi kwa emmanuel nchimbi.
 
Yaani asubili 2015 mwenyewe anajua moto wake. anategemea majungu tuu na fitini huko parangu kwenyewe hakuendeki barabara imechoka hadi bas. sijui tusubili ila wangoni hawaaminiki.
 

Kwakweli wabunge wa Mkoa wa Ruvuma ni mbumbumbu wa mwisho: Inaudhi hadi mwisho.

1. Huyu mama Jenista Mhagama...ananikera anapokuwa bungeni, yeye hutetea zaidi CCM na huzungumza kwa dharau za kizee utadhani hii nchi ni ya kwake. Watu wa Peramiho next time msimchague huyu mama tena.

2. Kuna jitu linaitwa Captain John Komba...laaaaah!! Huyu nilishawahi kuwauliza ndugu zangu kule Nyasa, aliwapa kitu gani mpaka wakamkabidhi jimbo la Mbinga Magharibi...,Majibu ni kuwa ....."ayemba wicho", yaani "anaimba vizuri"....daaah. Ila amewadidimiza Wanyasa wote.

3. Huku Mbinga Mashariki...Gaudence Kayombo...anatokea Ruanda....loooh, alipewa Ubunge kwa sababu anafanya kazi Benki...nyambafu Vangoni mweeee!!! Mimi nilisoma hapo Ruanda na ninawafahamu ndugu zake wote na mpaka home kwake...kwakweli hastahili kuwasahau wale watu wa Ruanda.

4. Kuna wabunge wa ungonini...hao hawajui wanausaidiaje Mkoa wa Ruvuma.


MWISHO:

Vakunyumba na nyie mbadilike sio kila siku kufanya tu mnayoambiwa na hao CCM, mbwa wa kale hao...hawang'ati tena ng'ooooooo..hata kama jogoo atawika..!!

Ujinga upo sana huko Mbwambao...ila mapinduzi ya Mkoa wa Ruvuma yatatoka hapa: Songea Mjini, Mbambabay, Mkili na Lituhi.

Ndugu zangu wa Matengo nyie ni majembe kwanini msianze kuwakataa hao CCM walioua kahawa yenu.
 
jaman hv huku jimbo la peramiho kamanda gani atasisima 2015? yaan huyu mama ananiudhi sana madaba hatumtaki huyu gamba nilisikia kamanda masumbuko atakuja niambieni jaman
 
Da ,hata mimi ni wa jimbo hilo katika kata ya Mpakani lazima ile kata niirudishe katika mikono salama kwani Diwani wetu kashinda kishirikina tu.
Safari hii tusimame imara kama pale Mjini Nchimbi hana chake huwa anashinda kimagumashi tu.Na huyu Jane naye ni akina mama enzake tu ndio ambao huwa wanampa kura ila nao kwa sasa wameshamchoka.

Inaniumaga sana kuwa jimbo la mbunge kama mama yul ambaye kwa muda wa awamu zake zote mbili hakuna cha maana alichokifanya kwa Wanaperamiho
 
Wakuu huyu mama ni kiazi ameingiza ufisadi hadi kwenye mradi wa umeme madaba/mahanje ili apate 10pa ila wananchi kupitia sumu za chadema tume upinga na mbaya zaidi hakubaliki kabisa hapa madaba eti kuna siku kaja jinsi anavyo ogopa kajificha!!!
 
jaman hv huku jimbo la peramiho kamanda gani atasisima 2015? yaan huyu mama ananiudhi sana madaba hatumtaki huyu gamba nilisikia kamanda masumbuko atakuja niambieni jaman

Tupo wengi na mi ni mmoja wapo,napiga jalamba,naanza kazi rasmi 2014........nakuomba unisaidie kupata makamanda wa kutosha kwenye kata yako.....MAGAMABA wameshatuona watu wa songea kichwa cha mwendawazimu lazima washike adabu 2015.
 
Nyie wa peramiho mkome, hivi mlipomwangusha profesa Mbilinyi mlitegemea nini? Hamwoni sifa mbunge wenu kuleta ulimbwende bungeni?
 
nimeanza kazi sasa yapata mwaka mzima na ninawahakikishia kuwa huyu dada amechoka na hana jipya jamani tuungane kwa pamoja hata tukitokea makamba kumi kwa kuwa lengo ni kumuodoa huyu mama jimboni kwetu tutamchagua kamanda mmoja ili apambane nae,mimi binafsi nitamuunga mkono kamanda yoyote,ila ninatangaza nia hiyo na ninaenda mbele.
Si mnawajua magamba sijitokezi kwa sasa hadharani kwani wataleta zengwe,kwa kuwa mimi ni mtumishi wa umma,tuanza sasa tusingoje 2015.
angalia nchimbi pale mjini hakuna kitu.mbinga hakuna kitu.je tutafika kweli?.hapa peramiho mjini ukiangalia hii barabara ya kwenda maposeni kuna papango na mahandaki makubwa hivi haoni huyu yoye haya,angalia kwao parangu hakuna kitu hana hata huruma na wangoni tumeshoka walahi hapiti na sisi makamanda ndio tumeanza kazi.
 



Huyu ni ulaji zaidi kwa kwenda mbele, hana habari na wananchi wa jimbo la Peramiho, ataanza kujipitisha kule mwishoni mwa 2014
 


Huyu ni ulaji zaidi kwa kwenda mbele, hana habari na wananchi wa jimbo la Peramiho, ataanza kujipitisha kule mwishoni mwa 2014

Acheni umbeya, wabunge kupitia Chadema hawana lolote la maana walilolifanaya zaidi ya kuhamasisha maandamano. Tuulize wapiga kura wa Mdee tutakupa uhalisia wao. Jenista Mhagama kapaiisha jimbo lenu, kawezesha ujenzi wa barabara ya lami Songea hadi Mbinga. Komba ni mchapa kazi, waliopo jimboni wanatambua mafanikio yaliyopatikana kupitia John Komba, wilaya ya NYASA imepatikana, Liuli kwawaka moto wa maendeleo
 
[h=2]Nyinyi wananchi wa Peramiho, mchagueni tu huyo mbunge. Sababu mimi nikiwa namwona bungeni mimi hoi bin taabani. Sifa apewe Muumbaji. Napenda hasa sauti yake jamani[/h]
 

Hahahaha, haya bana, yangu macho na masikio, nitatembea huko nikacheze na lizombe.
 

Hapo kwenye red ndio jibu sahihi la kile anachokifanya kwa sababu mlipa kula
 

We hukujui peramiho kapaisha kwa lipi unakujua peramiho wewe umefika muhukuru umeenda matetereka je huko kwake parangu,hujaenda Mgazini,mhepai,zomba na Lugagala kote ni bure yeye anaishi pale mtaa wa delux na makambi ipo manispaa hujafika matama na nambendo kote hovyo kabisa wakati wa kula anapiga magoti na kulia haonekani sasa analea. huko nyasa nani kakwambia kuna maendeleo hapo liuli puulu njambe mango lundo kwake kwenyewe komba kumechoka sansana kaleta basi. Lami ya mbinga haina uhusiano na Komba yeye yupo mbinga kusini lami inaishia Mbinga mjini. halafu kumbuka Mbinga kwa mapato ni wilaya ya tatu au nne maendeleo gani umeyaona. Acha kudanganya huku ruvuma choka mbaya hakuna jipya na sidhani kama kuna wabunge hawa wabunge wa CCM ni sawa na kutokuwa na wabunge maana hawana mchango wowote zaidi ya kupiga fedha na kulala bungeni ulisha wasikia wanasema kitu. wanatumikia CHAMA zaidi
 
Anajua akiwapa ubwabwa, khanga, kofia na tshirt kura mnampa pasipo kuhoji.
 
We mufilisi yaelekea ujui hatajiografia ya jimbo hili,halafu hujui chochote hakuna hata barabara moja aliojenga dada jane,hata ujui ile ya peramiho kuelekea mbinga nani kajenga na sio kujenga tu uelewi vitu vingi wabunge wote nchi hawana ubavu wa kujenga barabara ila wao ushinikiza tu,so huyo jane hajawahi hata kuishinikiza serikari ya magamba kufanya hivyo,acha kusema pumba sisi tuna hasira watu wanaiaaaaaaaangamiza ruvuma yetu ni lazima tufanye mageuzi,viti viwili vya kata hizi mbili ikiwemo yangu ya kilagana ni salaam zake ,haoini aibu ajenge kwanza barabara ya kutoka peramiho kuingia kule kwao parangu.
kaa kimya mufilisi huji historia ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…