PEP inapatikana wapi?

Members, kuna emergency imetokea mdau wangu anahitaji PEP kuna mahala kaharibu kazi. Yuko tabora mjini. Anazipata wapi au kama kuna yoyote anaweza msaidia kupata huu msaada. 4 hours tangu tukio litokee.
Aende zahanati au kituo cha afya kilicho jirani nae. Ila atapima kwanza asijesingizia mdada wa watu kumbe ngoma alikuwa nayo since day one.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…