RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,731
- 11,470
Mkuu acha chuki na Pep.Pep kaondoa Man city zaidi ya wachezaji 10 waliokuwa wanaanza then kaleta wachezaji anaowahitaji yeye then unasema Pep si chochote?.City tayari ilikua "in the room" Pep hajaikuta city mkiani. Tayari ilikua in the build up process na ilikua inaenda sawia so far, kumbuka ni miaka kadhaa tu nyuma city ilibeba EPL, Pep kaja kuendeleza tu na kuongeza palipokuwep. Sio sawa na Ranieri au Klopp Dortmund
Tatizo Wengi wenu mnasahau volatility ya EPL, mnaishia kumpa Pep sifa. EPL timu kuwa tishio msimu mmoja na next season kuwa si lolote ni jambo la kawaida. Mwaka juzi ilikua Leicester Leo hii ipo wapi, mwaka jana Chelsea sasa nani anaeiogopa Chelsea, mwaka huu City, mwakani amini nawaambia city itakua uchochoro. Sijui what is the fuss all about kuhusu hii city ukiangalia na tabia ya EPL.
So, hata sasa sioni cha ajabu ambacho Pep kafanya ni kawaida ya EPL na city kama Barca au Bayern aliikuta in the process.
UEFA asahau. Ni aibu kuiweka City na UEFA kwenye sentence moja
Jamaa unajitoa ufahamu au?
Unasema Bayern kombe la bundesliga ni lao miaka nenda rudi unasahau walilikosa miaka miwili ya utawala wa Dortmund wazee wa BVB enzi za Klopp.
Unasahau juzi juzi tu baada ya kuondoka Josep Guardiola babu Carlo Anchelotti kafanya vibaya sana hadi kafukuzwa?
Kwani huyo Anchilotte sio zaidi ya Bashite?
Unatumia kilevi gani mchambuzi fake wa soka?
Kuhusu kutochukua tena UEFA subiria utayakana haya maneno yako. Hata ukifuta post yako kumbukumbu itabaki hapa kwangu na nitakukumbusha tuombe uhai.
Utawala unaanzia na kuishia miaka mingapi?Miaka miwili ni utawala????? Du magufuli kawaweza kwelikweli kitendo cha kufungia ajira mnapoga soga tu za uongo.
Duh! Itakuwa huna akili timamu klop ni bora kuliko pep?Klopp ni kocha Bora zaidi ya Pep. Klopp kaichukua Dortmund 2008 ikiwa haina mbele wala nyuma wala pesa za kumwaga. kaipa Bundes liga 11 na 12, German cup na kufika fainali UEFA, sababu UEFA mtoto halali na hela nae akanyolewa ila he had a good run. Hata city ya Pep haitafurukuta UEFA kamwe.
Ni swala la muda tu Liver kuwa tishio EPL bado yupo in build up process, tayari kuna mwanga umeanza kuonekana. Huyu ni Kocha anayejenga mwenyewe sio Pep anajengewa yeye kutafuna tu afu mashabiki maandazi wanakuja kusema haijawahi tokea Kama Pep, wanamucha Ranieri au Porto ya Mou.
Kwa mantiki iyo hata zizzou ni boya tu kwa klop?City tayari ilikua "in the room" Pep hajaikuta city mkiani. Tayari ilikua in the build up process na ilikua inaenda sawia so far, kumbuka ni miaka kadhaa tu nyuma city ilibeba EPL, Pep kaja kuendeleza tu na kuongeza palipokuwep. Sio sawa na Ranieri au Klopp Dortmund
Tatizo Wengi wenu mnasahau volatility ya EPL, mnaishia kumpa Pep sifa. EPL timu kuwa tishio msimu mmoja na next season kuwa si lolote ni jambo la kawaida. Mwaka juzi ilikua Leicester Leo hii ipo wapi, mwaka jana Chelsea sasa nani anaeiogopa Chelsea, mwaka huu City, mwakani amini nawaambia city itakua uchochoro. Sijui what is the fuss all about kuhusu hii city ukiangalia na tabia ya EPL.
So, hata sasa sioni cha ajabu ambacho Pep kafanya ni kawaida ya EPL na city kama Barca au Bayern aliikuta in the process.
UEFA asahau. Ni aibu kuiweka City na UEFA kwenye sentence moja
Kaa ujue hakuna kocha ambae hajengi team coz kila kocha ana hitaj lakeKlopp ni kocha Bora zaidi ya Pep. Klopp kaichukua Dortmund 2008 ikiwa haina mbele wala nyuma wala pesa za kumwaga. kaipa Bundes liga 11 na 12, German cup na kufika fainali UEFA, sababu UEFA mtoto halali na hela nae akanyolewa ila he had a good run. Hata city ya Pep haitafurukuta UEFA kamwe.
Ni swala la muda tu Liver kuwa tishio EPL bado yupo in build up process, tayari kuna mwanga umeanza kuonekana. Huyu ni Kocha anayejenga mwenyewe sio Pep anajengewa yeye kutafuna tu afu mashabiki maandazi wanakuja kusema haijawahi tokea Kama Pep, wanamucha Ranieri au Porto ya Mou.
kwanza hivo vikos hakuna kilicho sawa na barca ya pep hata ukimuuliza mtotoHii ni comment bora kabisa kabisa kwa hii mada ya kipuuzi ivi wewe mleya uzi umeanza kushabikia soka lini nazani 2014 maana furgeson enzi izo anafanya yake watu kama guardola and the rest wakiwa hawjulikani na wala hakuna anaye wafikirie je unawezaje kupima mafanikio ya miaka 25 na miaka 9 je umetumia kigezo gani kutoa hii hoja yako
.
Tufahamisha ili tuweze kuelewa kigezo ulichotumia ili upewe data za kutosha
Kama kigezo ni idadi ya ligi tofauti alizofundisha basi wewe si mfatiliaji wa mpira reffer mournho ancellot na wengine Bt nazani mournho anaweza kuwa ndo kufundisha ligi nyingi tofauti zaidi ya wengine
Kama kigezo ni kuchaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi basi kabisa ndo unatakiwa kufuatilia vitu kwa undani na sio kukurupuka watu kama sir fargie, wenger, mournho, rijkaard, ancelott na wengine wengi ni vitu walishafanya sana
Kama kigezo ni kuchaguliwa kuwa kocha bora wa msimu hapo hujui ulichokiandika kuna watu wakishughulia izo misimu 2 frequently
Na kama ni kutengeneza kikosi bora na hatari katika ulimwengu wa soka hapo ndo husirudie kuandika upupu kama huu reffer kikosi cha Asernal 2002-2003 kikosi cha real madrid 2000-2005 kikosi cha man u 1998-2002 kikosi cha Ac milan 2003-2006 ivyo ni baadhi ya vikosi bora kabisa kuwahi kuwepo ulimwenguni chini ya makocha tofauti
Kama kigezo ni kucheza michezo ishirini katika msimu mmoja bila kufungwa basi ndo umeingia cha kike kuna watu washa approach mpaka gemu 49[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bila kufungwa
Kama kigezo ni idadi ya makombe aliyochukua basi umejidanganya maana kuna watu wamebeba makombe ambayo idadi yake ni sawa na umri wa pep mara 5[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji3]
Na kama kigezo ni uzoefu basi Ur ar looser maana kuna watu wana uzoefu knye iyo tasnia mara 5 ya uzoefu wa pep
.
Kama ni uwezo wa kikosi chake kufunga magori si kweli kuna vikosi vishawahi kupiga watu 7,8,9,10 na kuendelea
Yako mengi sana lakini kwa hayo machache Em nipe msingi wa hoja yako hii mfu ni upi?
Mkuu umeniquote vibaya sijamtaja Mou kama trainer mkubwa...but naimani Pep ni kocha bora lila sio wa muda wote, na hawezi kuwa kocha bora wa mda wote...labda atwae champions league na cityAverage trainer anawakibiza matrainer wakubwa kama Mournho how come Dude?.
Huna mashiko Man...Kwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.
Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca
Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa
Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule
Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
😄😄😁 Ila watu mtu kaja epl akawa anachukua makombe back to back hivi wakati una comment hivi then baadae pep Akaanza kuku prove wrong ulikuwa unajiskiaje au umeshakufa ndugu mchambuzi so hauku bahatika kuuona ubora wa pep pale EplKwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.
Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca
Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa
Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule
Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
Dahh kwamba mou ni kocha Bora kuliko pep !?Kitu pekee alichompita morinho ni upara wake na si kingine,individual trophies morinho 25 vs 21pepe