Wewe unasema akina Messi, Inesta na Xavi ndio walimfanya Guardiola kuwa bora.Nitakununulia huo mvinyo bila tashwishwi yeyote ile, tena mimi ndo nitakukumbusha, tatizo hiyo siku haitakuja kutokea tena.
Hapo hapo kwa Enrique ndo mnapojifunga sababu Luis kashinda kila kitu ambacho Pep alishinda Barca, hata baada ya kuondoka kwa Xavi bado Luis alishinda UCL na ligi, je nae ni kocha bora mithili ya Pep? Ila Luis huyo huyo alifeli vibaya alipokuwa Italy kabla ya kwenda Nou Camp. Ndo maana tunasema Messi, Iniesta na Xavi walifanya makocha waonekane bora ilhali hawana lolote lile.
unaakili kweli wewe...kuna coacher ambaye ameshawahi kuchukua vikombe 11 ktk misimu miwili zaidi ya pep...??Aliofanya Guardiola yamefanywa na Ancelloti, Mourinho na Zidane.
Sasa mkuu Pep kaingia kwenye ukocha rasmi 2008 leo hii ndio anaenda kufikia miaka 10 akiwa kocha.Hao wengine wana miaka zaidi ya 20 wakiwa makocha lakini leo Pep anafananishwa na hao huoni kama Pep ana kitu cha ziada kuliko makocha wengi?.Ranieri, Mourinho, Ancelotti na wengine.. Pep ni above average coach ila sio best kama ambavyo wengi mnadai.
hahaaa wewe Jamaa unasumbuliwa na chuki pamoja na wivu juu ya pepWengi mnabishana ila hamjui historia wala nini mnabishia. Maswali yako yote nimejibu kwenye comments baada ya hiyo ambayo umeniqote.
Ancelotti alifukuzwa baada ya kugongwa vibaya first leg na PSG UEFA sio ligi. Kama hata hili dogo tu hujui acha kujiita mshabiki wa soka. Hili ndo kombe wanalotaka ambalo si Carlo wala Pep aliweza kuwapa. Mbona hawakuvunja kandarasi alipofungwa kwenye ligi, kwanini UEFA tena game moja tu ambalo halikua na athari yeyote maana bado wangepita makundi? Jibu ni, UEFA is what matters most kwao sio ligi ambayo wameshinda mara 27. Pep alifeli Bayern
Nikumbushe siku Pep akishinda UEFA na timu nyingine yeyote ile nitakutumia muamala mpesa, ubaya hiyo siku haitakuja kutokea tena. Kule mtoto halali na hela
Average trainer anawakibiza matrainer wakubwa kama Mournho how come Dude?.Mkuu ulioleta huu uzi nadhani umeanza kushabikia mpira 2009... Mkuu hivi unajua ile barca ndo ilimuweka juu Pep kuwa na nidhamu kwa mtu kama Sir.Alex ferguson miaka ile alikuwa tishio sana kuliko huyu Pep kikosi kinambeba Pep...ila jamaa ni average trainer
hao uliowataja wote hakuna aliyeweza kufikia uwezo wa pep hata kiduchu..kwanza safari yao ya mafanikio imewachukua muda mrefu mnoo mpka kufika hapo walipo nitofauti na pep mwenye miaka michache ktk tasnia ya ucoacher lakini anacho kideliver ni Mara 3 ya uwezo walionao hao uliowataja ..Ranieri, Mourinho, Ancelotti na wengine.. Pep ni above average coach ila sio best kama ambavyo wengi mnadai.
kapagawa Huyo atakupasuà kichwa achana nae...na makocha wake hao walioishiwa mbinu...haaha mou anaelkea kumaliza mcmu wa pili sasa namsimu wake wakwNza aliumaliza mcmu kwakuifikisha nafasi ya 7..kule Chelsea alitimuliwa kwakutka kuishusha team daraja...then ndio wataka kumfnanisha na pep ..mtu ambaye alimtwanga 5 0 pale Spain ..akamuulize fergie. Wenger.. pep ..ninani atakupa habari yeye uliyehuku bara lagiza huwezi kumfahamu vyema..Average trainer anawakibiza matrainer wakubwa kama Mournho how come Dude?.
A ha ha ha .Kwa sasa Zidane Yazidu Zinedine ndo kocha bora,hyo Guadiola hakuweza kutetea Uefa wala kombe la club la dunia,,,,kama siyo Zizzou nani mwingine?
Acha Mpira Uitwe Mpira Kamanda. Kuna Kauli za kimpira wa miguu huwa zina maana kubwa sana. Mfano, "Mpira ni dakika 90", "Mpira unadunda", "Mpira una matokeo matatu yani kufunga, kufugwa au droo" nazingine nyingi.Wengi mnabishana ila hamjui historia wala nini mnabishia. Maswali yako yote nimejibu kwenye comments baada ya hiyo ambayo umeniqote.
Ancelotti alifukuzwa baada ya kugongwa vibaya first leg na PSG UEFA sio ligi. Kama hata hili dogo tu hujui acha kujiita mshabiki wa soka. Hili ndo kombe wanalotaka ambalo si Carlo wala Pep aliweza kuwapa. Mbona hawakuvunja kandarasi alipofungwa kwenye ligi, kwanini UEFA tena game moja tu ambalo halikua na athari yeyote maana bado wangepita makundi? Jibu ni, UEFA is what matters most kwao sio ligi ambayo wameshinda mara 27. Pep alifeli Bayern
Nikumbushe siku Pep akishinda UEFA na timu nyingine yeyote ile nitakutumia muamala mpesa, ubaya hiyo siku haitakuja kutokea tena. Kule mtoto halali na hela
Uko dunia IPI mkuusababu kubwa ya pep kuondoka bayern ni kutaka kuleta mpira wa pasi pale kitu ambacho wajerumani hawakitaki hao bayern toka pep ameondoka wamechukua UEFA? ...Mbona kocha hawamtimui?
Wengine mnachekesha kiukweli Pep ana miaka tisa kwenye soka.Lakini SAF aliichukua Man u tangu 1987 kama sio 1988 mpaka 2011/2012 katumia miaka zaidi ya 25 ya ukocha wake unamlinganisha na Pep kwelii?.Pep anaweza kuwa kocha mzuri kuliko hata huyo SAF ngoja tumpe miaka 15 halafu utaelewa.Mimi nishabiki wa Arsenal ila SAF ndiye mwalimu bora wa muda wote. Alicho archieve na United ni kikubwa zaidi kuliko aliyo archieve pep tangu aanze kufunza soka.
hicho ndo nachoipendea eplKwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.
Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca
Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa
Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule
Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
A ha ha ha ha huyu Mou aliekuwa anapigwa 6_1,5_0.Na Pep?.Dawa ya gadiola ni mou... Mou ndiye aliyemfanya aondoke barca baada ya kupigwa na madrid!! Tukutane raundi ya pili...
Best kwa kupack Bus or?.Go east, go west.
Mourinho is the best.