Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 363
sababu kubwa ya pep kuondoka bayern ni kutaka kuleta mpira wa pasi pale kitu ambacho wajerumani hawakitaki hao bayern toka pep ameondoka wamechukua UEFA? ...Mbona kocha hawamtimui?Kwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.
Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca
Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa
Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule
Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.
Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca
Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa
Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule
Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
Wamemtimua Carlo Ancelotti baada ya kugongwa vibaya na PSG first leg. Lile ndo kombe wanahitaji, Unadhani angepoteza bundesliga vile wangevunja kandarasi? Hapana. Sababu wanajua bundesliga ni yao tusababu kubwa ya pep kuondoka bayern ni kutaka kuleta mpira wa pasi pale kitu ambacho wajerumani hawakitaki hao bayern toka pep ameondoka wamechukua UEFA? ...Mbona kocha hawamtimui?
We mshabiki mandazi hata ukipinga huwezi shusha ubora wa pep acha mihemukoKwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.
Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca
Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa
Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule
Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
Kwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.
Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca
Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa
Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule
Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
Du hatari Mugabe wa GunnersNiko na msela wangu anadai eti hakuna kocha mzuri zaidi ya "Wenga"
Maneno yako hayo subiri mudaa uongeee ndio utajua pep ni coachKwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.
Pep aliwakuta xavi na iniesta wakiwa kwenye peak zao, kwa kikosi kile hata Bashite angeweza shinda mataji na Barca
Pep was a failure at Bayern, Bayern kushinda bundesliga ni kama kupaka mkate siagi, kazi rahisi sana under Kocha yeyote yule, lile ni kombe Lao miaka nenda rudi hata kabla ya Pep. Bayern walihitaji UEFA kitu ambacho Pep alishindwa
Mancity atasumbua sana msimu huu na kubeba EPL ila UEFA asahau. Hatoshida UEFA tena na timu nyingine yeyote ile. Mtoto halali na hela kule
Pale pale city msimu ujao watakua wamepata dawa yake ndo EPL ilivyo, next season anatoka kapa. Utamkataa
Kuna wapingaji watapinga,ila jamaa ni fundi tuache masiharaPep alifanya barcelona iwe tamu kuliko hata dem ulomuahid ndoa
Pep alifanya messi aonekane mungu wa mpira
Alitengeneza kiungo hatari zaid duniani yaani Andres...sergio...Hernandez
Hakuwai kua nafas ya tatu akiwa la liga...yey alikua moja au mbili
Akaenda zake mapumziko marekani
Unamsikia kaenda bayern
Aisee Bayern anatangaza ubingwa,na mechi 5 mkononi
Bayern anatandaza soka mpaka unaeza shiba huku una njaa ya siku 3
Haters wanaanza ongea
Pep anaogopa epl
Sio muongeaji sana
anasogea Epl
kwa mara ya kwanza kwenye soka lake anashika nafas ya 3 akiwa na man city
Msimu wa pili anachukua wachezaje anaoamin anawatengeneza ili wafate falsafa yake
Leo hii man city anaweka record kila iitwapo leo
leo hii Kervin De Bruyne kila kukicha anaacha lawama
Sane amekua kama ana mapepo akiwa na mpira
Sterling kawa invicible
David silva kawa incredible
Ana kikos kipana na kizur mno
PEP GUARDIOLA umefanya niipende barcelona mpaka leo hii
come back to BARCA bro nataman kuhama nije city ila najua ukiondoka city ntakua na maumivu kama uloniachia barca na kutaman kuhama tena.....ntakua kama mwanamke malaya
WEWE NI KOCHA BORA TOKA DUNIA IANZISHWE NA SIDHAN KA ATATOKEA MWINGINE
Una uhakika na hiki unachokiongea?Kwanza Guardiola hakumfanya Messi awe Bora bali ni the other way around, Messi alimfanya Guardiola aonekane Bora.