People take care with power bank. It can course death

Aiseee. .. Ngoja nisogeze hii power bank mbali
 
Wapi hiyo mkuu?

Hili tukio limetokea huko Ghana na huyo binti marehemu alikuwa akijulikana kama Blandine...

Inavyosemekana siku ambayo umauti ulimkuta huyo bi mdogo kulikuwa kumetatika umeme...

Hivyo huyo binti akawa anaitumia hiyo powerbank kwa kuiunga upande mmoja katika simu na mwingine kwenda kwa soketi ya umeme ili ukirudi iendelee kuchaji...

Umeme ukiwa umekatika alikuwa anachat na marafikize hadi alipolala, by the time umeme unarudi ndio yakamkuta hayo sababu ikiaminikia ni 'electric surge'...

Hatimaye akakumbana na shoti ya umeme iliyopelekea umauti wake...
 

asee very sad...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…