Mima white cute
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 740
- 1,305
Sanaaa jamanii kuwa uyaoneeeeAisee wakubwa wanafaidi
Sana mkuuAisee wakubwa wanafaidi
Nakuona shemeji wangu wa ukweli. Si unajua Hainaga ushemeji njoo chocho huku.!Kila la heri kwenye mapenz yenu
Jamani ivuga yuko wapi Inna!? Umemfungia sana au ndio anajiandaa kumpokea ivuga Jr?Kila la heri kwenye mapenz yenu
Ngoja nmwite mumuNakuona shemeji wangu wa ukweli. Si unajua Hainaga ushemeji njoo chocho huku.!
Yupoo kajaa tela jana tumegombana huyo mumeo katuchonganishaJamani ivuga yuko wapi Inna!? Umemfungia sana au ndio anajiandaa kumpokea ivuga Jr?
Heee imekuaje!??halafu simuelewi ujue anapenda mambo ya hainaga ushemeji sana,...Yupoo kajaa tela jana tumegombana huyo mumeo katuchonganisha