Penzi limekufa kimasihara

Huyo jamaa kafanya mwenyew na ndio maana hataki mazungumzo.Nina rafiki yangu alitaka kuoa mwanamke sijui abadae kilitokea nini akamtafuta jamaa akamuelekeza kila kitu ili amtongoze harafu jamaa afumanie hata sms apate sababu na kweli jamaa alifanikiwa.
 
Kuna namna fulani ya ku clear cache, yaani una reset SIM CARD.
Ina ondoa all call, text diverts.
Ngoja nikumbuke nikutumie ujaribu
 
Kujiondoa bofya

##002#
 
Hapa ndo JF ambapo unaweza kupata msaada mbalimbali

Hilo tatizo linatatulika na service provider wako au nenda TCRA watajua nini kimetokea na kama unafanyiwa uhalifu makusudi hatua zinachukuliwa.

Usidhani jambo hilo ni bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…