Penzi limekufa kimasihara

Esthergroly

Senior Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
104
Reaction score
117
Sijui nianzie wapi ila kiufupi simu yangu ilikuwa diverted na mtu nisiemjua. Baada ya watu kunijulisha hilo kuwa wakinipigia anapokea mwanaume nikajaribu kuzima simu yangu kubwa nikatumia kiswaswadu kujipigia ile line nilozima..

Kweli iliita akapokea nikamuomba atoe alichokifanya maana calls zangu zinapita kwake. Alikubali.
Akatoa ila anadai ilijirudi tena yaani akitoa inajirudisha inakua yaleyalee. Sasa huyuu mwanaume wangu ameshindwa kunielewa na tumegombana na tushaachana maana nilimshutumu yeye kumbe sio yeye
Amemaindi anasema hawez fanya upuuzi huo.

Roho inauma natamani anielewe nimebembeleza sana nimechoka. Anasema kama sikumuamini nikamhisi amenidevert basi na yeye hawezi niamini kwa huyo alienidivert kwamba simjui.

Kiukweli simjui na sijawahi kumsaliti mwanaume wangu. Inaniuma kupotezeana nae mana tulifika hatua nzur kila kitu kilikua kwenye mstari. Sasa sina mtu nipo tuu sijielewi nashindwa kuzoea maisha bila yeye muda huu tungekuwa tunaongea wenyewe kwenye simu.

Anyway mnisaidie nifanyaje nijiondoe na huyo mtu nisiemjua alienidivert maana ataniletea matatizo tena, nilishapiga voda wakanielekeza namna ya kufanya haikusaidia. Kubadili laini sitaki.

Upweke mbaya sana jamani.
 
2pa hiyo sim card kisha sajili sim card nyengine,omba muda nae mueleze maamuzi yako kama hatokupa muda basi mtumie taarifa ys hayo maamuzi tena kwa sim card hiyo mpya,hakuelewi tena basi msubiri hasira zipungue
 
Ko umeshapoteza buzi la kuchuna kimasihara?????

Pambana na Hali yako wanawake mko wengi keshapata tapeli lingine
 
I'm Single[emoji95]
 
Duuu nakupa Pole aisee.
 
Ila kama umepata hio shida na unashindwa kumsahau jamaa njoo dm tupige story kama upo dsm tukutane KFC mikocheni tupige story mbili Tatu kijana

Maisha ni haya haya usijinyime raha [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…