LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 679
UJISamahani alikua MUUZA UCHI au MUUZA UJI
Engineer upo mpaka hukuKwa sababu yeye ni mwanaume alokamilika.
Usidhani kila mtu ana gene defficiency kama wewe.
Ndoo apo .mkuu kwakuwa yeye kwake ni mtihani bas anazani ni woteKwa sababu yeye ni mwanaume alokamilika.
Usidhani kila mtu ana gene defficiency kama wewe.
Ilikuweje mkuu ...tupe simulidhi kdogoAisee! Mkuu umenikumbusha mbali sana,1995, nilipopata penzi la mfanyakazi wa mama ntilie pale Tazara karibu na kivulini enzi hizo.
Ngoja utapewa notice usome muda hautoshisijaelewa kabisa
mkuu ckutaka ujitambulishe jina lako halisi
Ni ww uliye andika Uzi huo ....na nikwann mod wamefuta Uzi wako. Unacho type apa kinausihana VIP na tabia yako harisi ???? Je unacho jadili apa ni kitu Gani ??? Rudi nyuma type yako ya kwanza kisha Angalia nilikujibu nn ... Bahada ya kukujibu ww ulitype nn ...kisha njoo tena uniambie unacho taka ni nn kwenye Uzi humkuu ckutaka ujitambulishe jina lako halisi
Kwa kiswahili cha mkurya uji anaita uchi usishangae mkuu..Samahani alikua MUUZA UCHI au MUUZA UJI
Kama uko sahihi vile sio bwawa tu Adi iyo shombo ya samaki ipoHii stori hujaimalizia. Maana kuna jamaa yangu anaitwa Ali Mabolo alikuwa analalamika eti muuza uji ana bonge ya bwawa la samaki. Au wewe hukuliona ulipofika kwake?