Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 340
- 759
Sasa si ulikuwa Huna fire extinguisher na bima?...ulitaka usipigwe fainiAisee, Ngoja nipumue kidogo mwaka jana mwezi wa sita nilitongoza mdada kitaa, akanikubalia tukawa wapenzi.
Sasa huyo dada hakuniambia kwamba ni Trafiki nilikuja kugundua nilivyopita Ubungo Mataa na kumuona.
Sasa kuna siku mwezi wa 11 mwaka jana nikavusha mdada ghetto akatufumania, nilionba msamaha sana akasema tuachane tu hawezi haya mambo, tukaachana nikajua yameisha kumbe.
Sasa siku napita pale Ubungo mataa naona nasimamishwa na trafiki naanza kukaguliwa naambiwa fire extinguisher na bima ni kweli nilikuwa sina nikalipishwa, wiki nzima faini zilifika kama laki tatu kila siku kosa kumbe yule Dada trafiki kawapa no ya gari yangu wakawa wananishambulia sana faini ilifika laki 6 pale Disemba nikaamua kupaki gari tu ndani.
Nimemuomba msamaha ila kasema kanisamehe ila anashambulia sana.
BIMA 118,000 na fire extinguisher haizidi 50,000, triangle red sign haizi 20,000. Mpaka inafika 600,000 huo ni uzembe wako. Umemlea sana huyoAisee, Ngoja nipumue kidogo mwaka jana mwezi wa sita nilitongoza mdada kitaa, akanikubalia tukawa wapenzi.
Sasa huyo dada hakuniambia kwamba ni Trafiki nilikuja kugundua nilivyopita Ubungo Mataa na kumuona.
Sasa kuna siku mwezi wa 11 mwaka jana nikavusha mdada ghetto akatufumania, nilionba msamaha sana akasema tuachane tu hawezi haya mambo, tukaachana nikajua yameisha kumbe.
Sasa siku napita pale Ubungo mataa naona nasimamishwa na trafiki naanza kukaguliwa naambiwa fire extinguisher na bima ni kweli nilikuwa sina nikalipishwa, wiki nzima faini zilifika kama laki tatu kila siku kosa kumbe yule Dada trafiki kawapa no ya gari yangu wakawa wananishambulia sana faini ilifika laki 6 pale Disemba nikaamua kupaki gari tu ndani.
Nimemuomba msamaha ila kasema kanisamehe ila anashambulia sana.
Aisee, Ngoja nipumue kidogo mwaka jana mwezi wa sita nilitongoza mdada kitaa, akanikubalia tukawa wapenzi.
Sasa huyo dada hakuniambia kwamba ni Trafiki nilikuja kugundua nilivyopita Ubungo Mataa na kumuona.
Sasa kuna siku mwezi wa 11 mwaka jana nikavusha mdada ghetto akatufumania, nilionba msamaha sana akasema tuachane tu hawezi haya mambo, tukaachana nikajua yameisha kumbe.
Sasa siku napita pale Ubungo mataa naona nasimamishwa na trafiki naanza kukaguliwa naambiwa fire extinguisher na bima ni kweli nilikuwa sina nikalipishwa, wiki nzima faini zilifika kama laki tatu kila siku kosa kumbe yule Dada trafiki kawapa no ya gari yangu wakawa wananishambulia sana faini ilifika laki 6 pale Disemba nikaamua kupaki gari tu ndani.
Nimemuomba msamaha ila kasema kanisamehe ila anashambulia sana.
1.Sitori yako ina ukskasi kidogo kwa wanao jua magari, traffiki haruhisiwe kukupa faini zaidi ya mbili kwa wakati moja.Aisee, Ngoja nipumue kidogo mwaka jana mwezi wa sita nilitongoza mdada kitaa, akanikubalia tukawa wapenzi.
Sasa huyo dada hakuniambia kwamba ni Trafiki nilikuja kugundua nilivyopita Ubungo Mataa na kumuona.
Sasa kuna siku mwezi wa 11 mwaka jana nikavusha mdada ghetto akatufumania, nilionba msamaha sana akasema tuachane tu hawezi haya mambo, tukaachana nikajua yameisha kumbe.
Sasa siku napita pale Ubungo mataa naona nasimamishwa na trafiki naanza kukaguliwa naambiwa fire extinguisher na bima ni kweli nilikuwa sina nikalipishwa, wiki nzima faini zilifika kama laki tatu kila siku kosa kumbe yule Dada trafiki kawapa no ya gari yangu wakawa wananishambulia sana faini ilifika laki 6 pale Disemba nikaamua kupaki gari tu ndani.
Nimemuomba msamaha ila kasema kanisamehe ila anashambulia sana.
Alete code wana tuzameUbungo ipi hiyo tukusaidie kukipiza kisasi
ππππππKuna siku trafiki wa kike aliwahi kunisimamisha maeneo ya kati ya dodoma na singida, jina la eneo lile nimelisahau lakini kuna ka kituo ka polisi kadogo kapo upande wa kushoto kama ukiwa unatoka dom kwenda Sing.
Baada ya kuweka gari pembeni nikampimia kwenye mirror ni boooonge moja la pisi.
Alivyofika tu nikaingia fataki mode, kabla ya stori hazijawa nyingi nikaanza kumsifia pale chekesha chekesha akaingia kwenye mfumo.
Nikatoa simu kumpa aandike namba mara ghafla likaja askari la kiume(liliona anavyocheka cheka) likaunguza picha yote
Kaka uwa hatusemi tunaishia kusoma ili waje wa aina yake nao watupange tucheke kimya kimya siku ipite mkuu wangu1.Sitori yako ina ukskasi kidogo kwa wanao jua magari, traffiki haruhisiwe kukupa faini zaidi ya mbili kwa wakati moja.
2 kila faini ni 30,000 unapewa siku saba kuilipa ukichelewa kulipia kwa mwezi moja inaongezeka kwa 50% manaake 30,000 inakua 45000.
3. Trafiki hawezi kukuandikia mkeka wa fine bila kua na leseni yako hata akiwa na namba ya gari.
Sasa kwako ilikuja je mpaka 600 000, aliandika je wakati huna lesseni. Duh.
Kila siku tatizo jipya1.Sitori yako ina ukskasi kidogo kwa wanao jua magari, traffiki haruhisiwe kukupa faini zaidi ya mbili kwa wakati moja.