Sasa hayo majina ya wanaochepuka nao na wewe mleta mada ungetuwekea sisi huku j.f ili na sisi tuwajue.hii mada iko ki nafki nafki si ki wivu wivu si kiumbea umbea !!yaani duuu!!!au uchochezi!!![emoji86] [emoji86]Habari zinazoenea kwa kasi chini ya kapeti kuhusu staa wa filamu nchini, Elizabeth michael aka Lulu hivi karibuni kushushiwa kipigo "heavy" na mpenzi wa sasa ambaye pia ni mmliki wa radio maarufu mjini, Efm aitwaye majizo. Inasemekana staa huyo amekua akichepuka kwa siri na watu tofuati tofauti ambapo ikafikia hatua mpaka sponsor wake huyo kugundua na kumshushia kipigo cha mwizi kwenye hotel maarufu mjini(jina kapuni) ambapo wawili hao walienda kula bata.
Hata hivyo inasemekana majizzo amekua akipokea shutuma mbali mbali kuhusu baby wake huyo kuwa anachepuka na watu tofauti tofauti bila yeye kujua, lakini kijana huyo mwenye pesa chafu amekua akifumbia macho tuhuma hizo na kudai kuwa ni njama tu za maadui zao za kutaka kuwachonganisha waachane. Inasemekana Lulu kwa sasa anachepuka na rafiki wa karibu wa majizo( jina kampuni) ambaye inasemekana anafanya kazi BOT ambaye inasemekana Ana pesa chafu kumzidi kijana hyo.
lulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heelsHilo ndio tatizo la kuwa demu mrembo sana, mwenye mvuto na superstar
Haaa haa asee watu mna minenooolulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman hivi mnatoa wapi hya maneno?!lulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
weka pich yako tukuone basi...lulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
ila lulu ni wa kawaida sana basi tu kujishebeduaHaaa haa asee watu mna minenooo
Hili dongo hatari sanalulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
Na inapo fikia hatua hiyo wapenzi wa hako kabinti ndio wanapo agana na Dunia.Hayo ndiyo madhara ya utumwa wa kimapenzi
hahahahahhahalulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
Kizuri bana sema kimalaya halafu kilevi mbwa na misafari lager yake...nilikuwa natafuta madesa perfect vision nakikuta pale...kazi kumgombania huyo mzee KADEGE ( mwenye shule)...mxiuuuuuila lulu ni wa kawaida sana basi tu kujishebedua
Juzi wakat wanatakiana heri ya kuzaliwa ye Lulu c alisema hyo ndo "perfect combo "wake kumbe anagawa kibwasha pembeni kha!Eeh watu wamevurugwa sio kwa kichambo hiki, Lulu akisikia huko alipo lazima apate tetemeko la moyo kama sio kupatwa kwa pressure