Penzi la kweli

Penzi la kweli

Joined
Jul 6, 2012
Posts
53
Reaction score
19
wanajamvi! Mie n kijana w kitz,nimebatika kusafiri nchi kadhaa ktk east afrika. KTK pitapita zangu,nimepigwa na butwaa na kubaki nikishika tama!!nimetafuta suluhu kw wengi kabila,dini,tofauti,mataifa mbali mbali japo sikuridhika na majibu kwani tatizo lenyewe lazidi kupita mipaka...... Leo nikawasilisha kwa WANAJAMVI!NIKIVMAI NINYI NI CHEMICHEMI Y USHAURI. HIKI NDICHO KIZANGA KAMILI. JE KINA WANAUME MWAPENDA WADADA WALIOTOLEWA ZILE EMBIRIO!/WALIOPASHWA TOHARA? Swali ni je kwanini MUNGU ALIWEKA HICHO KIUNGO?SAMAHANH WADADA-WAMAMA KWENYE JAMVI!JE MNAHISIJE KTK GAME NINYI WENYE HICHO KIUNGO?NA JE MSIO NAO MNAHISIJE ?MUONAJO SERIKALI IKIKATAZA UKEKETAJI MNALICHULIAJE SUALA HILI?NA KWA JAMII WAENDELEZAO UNYAMA HUO MNAWASHAURI VIPI?! KARIBUNI NYOTE HAPPY 2013
 
Dah!
Yaan tittle "PENZI LA KWELI"
Ndani Nakutana Na Mambo Ya "TOHARA"..
Nimechoka Kweli!
 
Duh... Sijaelewa kitu hapa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi umeandikiwa au umeandika mwenyewe?
 
Kwani wewe lugha ulifeli shule ya msingi? Nimejitahidi kusoma neno moja mpaka jingine lakini sijakuelewa, kichwa cha habari hakitakiwi kupishana na maudhui ya habari yenyewe. Sasa wewe ndugu kichwa cha habari umeandika "PENZI LA KWELI" Halafu habari unaandika sijui tohara, nenda kajipange andika habari nzuri bwana watu hatutasita kuchangia. Heri ya mwaka mpya mkuu.
 
Ujinga Mtupu ulioandika.
Kichwa cha habari na maudhui haviendani.
Huna elimu ya darasani basi hata ya Kuzurura hakukusaidia?


Bazazi!
 
Back
Top Bottom