my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Toa neno hta moja la kuwashauri πHahhaahahah.Watajuana.Hayatuhusu. Kila mtu apambane na gume gume lake.
Tunaambiwa mkenya anapendwa balaa na katuletea mtoto kopiraiti.
Movie gamu hii
Tunaambiwa mkenya anapendwa balaa na katuletea mtoto kopiraiti.
Movie gamu hii
Trueee yani nakazia hapo,ni ukweliiMoja ya viashiria vya uchawi ni kufurahia anguko la mwenzio
Hadithi yangu inatufundisha kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
#sad [emoji17]
Wanasema hivo watakuwa wakenya hawataki kuamini wanachokiona π
Moja ya viashiria vya uchawi ni kufurahia anguko la mwenzio
Hadithi yangu inatufundisha kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
#sad π
Uzi wa Jacky??πHahahahaha mkuu unachekesha. Uzi wa jacky sijaona mahubiri hayo au jack sio mwanamke mwenzetu? Wanawake wote ni wachawi ila tumezidiana viwango na unafiki
Uzi wa Jacky??π
Ndio
Umenifananisha bhana,sio mimi πππ
Numbisa sidhani kama nilishafurahi anguko la kiumbe yoyote...halafu sikuhubiri,niliandika tu