Penzi la ajabu

Ros tomas

Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
48
Reaction score
36
Hivi demu hataki kukupa utamu miaka 3 halafu ameshazaa, nikipiga simu hapokei au anajibu Niko bize anakata. Akiwa na shida ya hela anapiga simu.
Halijipendekeza kwangu naona kama ananizibia riziki kwa mademu wengine. Eti kupiga chini itakua sahihi. Anajuana na sister wangu kupitia mume wa sister wangu alinizoea, sister akamuachia number yangu ndio mwanzo wa mawasiliano ulianza.
 
Soulmate kabisa huyo!! Hela n material tu, mlee huyo kimwana.
 
Vitu vingne sio vya kuomba ushauri inatakiwa unaamua as the man
 

Acha ufala piga chini hyo ni chombo Ya fundi,Nenda katafute Ya kwako.
 
Badilisha kichwa cha habari andika Wewe ni FALA.tena ni ATM au SHIRIKA LA MISAADA.

Sioni mapenzi hapo.
 
Hivi wewe ni mpumbavu kiasi gani phuxk kabisa kumbe keshazaa alafu anakunyima ili agundue nini shenzi tupa kuleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…