Penzi kitovu cha uzembe

mi nilikosa quiz ya mwisho ya kutengeneza cozwek nilikua geto nakula raha na toto zuri. nlisapu lile somo.
 
Aiseee we komaa tu na penzi kufahuru ni akiri sio kusoma sana
 
Wanafunzi wa Usimamizi wa fedha Hawa.
Wanaendekeza ngono hawa sijawahi kuona.
Wengine nipo nao karibu hapa ndio kazi wanafanya mpaka Sasa nasikia miguno tu next room.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…