JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,204
- 11,364
Wanajamvi kuna binti wa kitanga alinipa penzi la kutisha kati ya mwaka 2014 na 2016. Kwa kipindi hiki kazi zangu zilikuwa za kuzunguka sana.. Bahati nzuri nikakutana na Huyu binti mwaka 2013 akiwa na miaka 20.
Siku ya kwanza nilimukuta ofisi Fulani nikampenda ili nilikosa nafasi ya kuchukua namba.
Baada ya miezi miwili Bahati nzuri nikamkuta Tanga bichi ameenda kupunga upepo na ndugu zake .. Asee nilicheza kama Pele hadi nikapata namba.
Baada ya mda nikamkaribisha aje anitembelee alnilipokuwa nalala pale nyumbani hotel. Nikamwingiza hadi chumbani nikampigisha story ila alikuwa hataki nimsogelee wala kumugusa. Asee nilipata wakati mgumu huku mapigo ya moyo yakinienda mbio. Si mnajua jinsi tunavyo danganywa kwamba Watoto Wa kitanga ni wakubutua tu. Siku hiyo niliimba nyimbo zote hadi nikafanya kufosi lakini sikupata kitu. N kidogo tu anichome kitu cha ncha Kali. Nikaacha nikaishia kumuomba msamaha akanisamehe anaenda zake.
Baada ya hapo nikaaendelea kumuimbisha ila kila nikimuimbisha ananikimbusha kosa nililomfanyia alipokuja kunitembelea. Mwanaume sikuchoka. Nikawa sasa hata nimeenda Tanga kikazi namdanganya tu nimekuja kwa ajili yako. Wakati huo naishi Dar. Nikaimba nyimbo tangu 2013 hadi 2014 mtoto kaingia laini.
Ebana eee.. Mtoto kaja na shanga kiuno kizima nami kwa ushamba wangu wakati wa kumupakata kumupapasa nikakata zingine lohhhh..
Baada ya hapo yaani ikawa nipe nikupe.. Tumeenda hivyo mikoa kazaa tukila bata. Mwanza.. Arusha. Tanga. Dodoma.
Mara ya mwisho nikaenda nae Dodoma tukakaa loji moja Siku NNE.
Baada ya hapo hatujaonana Tena.
Tunawasiliana kawaida tu. Sasa nimeamua kutulia na wife ila Leo nimelikumbuka sana penzi la yule mtoto.
Nilimpenda kweli kweli kimapenzi. Nazani natakiwa kumtafuta Tena. Penzi lake loh tamu afu mtoto anajiheshimu sana; atakae muoa atapata mke.