Inamaanisha watu mko tayari kwenda kuziuza nchi zenu, na mnatangaza wazi wazi? Pentagon hawatawatumia waswahili kutafsiri lugha au culture za waarabu, watawatumia kutangaza propaganda zao ndani ya tanzania, kuchunguza na kuwataarifu mienendo ya kisiasa tanzania/east africa, na mambo mengine ambayo hayatakuwa na faida yoyote kwa tanzania. Lakini kwa viza, kipato na vikolombwezo vingine najua wengi tu watakao-overlook mambo hayo.
Viongozi wenu wanajua hayo ndiyo maana hawatapitisha kamwe dual-citizenship.