FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Tulipofikia dunia kwa sasa,,No body cares anymore..Russia alikua anaitaka hio sababu, subiri akirusha zile hypersonic zake uone vikao vya UN kila siku [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Intermediate ni mabaya maana hayakupi muda wa kujiandaa... Urusi kazungukwa na kambi za NATO hivyo ni rahisi kudhurikaRussia alikua anaitaka hio sababu, subiri akirusha zile hypersonic zake uone vikao vya UN kila siku [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyohisi RUSSIA Anakaa Kibwege Bwege Tu MKUUIntermediate ni mabaya maana hayakupi muda wa kujiandaa... Urusi kazungukwa na kambi za NATO hivyo ni rahisi kudhurika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa. Ile venezuela ni msiba sana kwa USA japo , Russia nae yupo kitimoto toka nchi za Nato zinazomzunguka.Unavyohisi RUSSIA Anakaa Kibwege Bwege Tu MKUU
Ukweli Hayo Madude Hayakupi Wakati wakukohoa Ila RUSSIA Atakuja 2 na Plan B
Pia Ndio Moja Yasababu Zinazo Wafanya RUSSIA Wamkomalie Maduro Kubakia MADARAKANI URUSIA/RUSSIA/RUSSIA Wameliangalia Suala La MADURO Kimkakati Zaidi Hususan Kiusalama ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani lakini mkuu hivi wewe unacheo gan hapo KGB ?Unavyohisi RUSSIA Anakaa Kibwege Bwege Tu MKUU
Ukweli Hayo Madude Hayakupi Wakati wakukohoa Ila RUSSIA Atakuja 2 na Plan B
Pia Ndio Moja Yasababu Zinazo Wafanya RUSSIA Wamkomalie Maduro Kubakia MADARAKANI URUSIA/RUSSIA/RUSSIA Wameliangalia Suala La MADURO Kimkakati Zaidi Hususan Kiusalama ...
Sent using Jamii Forums mobile app
KGB is no more!
Kila mtu akiwa anatest hii mitambo, Dunia itakuwa katika hali gani?
Kivipi?Kukitokea direct war kati ya russia na usa basi kiufupi huo ndio utakuwa mwisho wa dunia
Kwahio unavyotaka ww Atist US 2 Akiteat IRAN Ndio Unakuja Mjadala Wadunia Kua Katika Hali Gani ?Kila mtu akiwa anatest hii mitambo, Dunia itakuwa katika hali gani?
OK!Kwahio unavyotaka ww Atist US 2 Akiteat IRAN Ndio Unakuja Mjadala Wadunia Kua Katika Hali Gani ?
Lakimsingi Kama Akiamua Kutest US Basi Kila Taifa Linaloweza Ikiwemo IRAN Linahaki Yakufanya Hvyi
Nakama unataka DUNIA Iwe katika Hali Salama Hatakama IRAN Ataacha Kufanya Hayo Mambo US Akitest Nawengine unahisi USALAMA Wadunia Utakua Umekaa Katika Mahala SALAMA
Finally:Kama Usalama Wa DUNIA Nikuacha Hayo Mambo Hayamlazimu IRAN Ama Taifa Fulani Fulani Pekeee Bali Ni Kuanzia Na RUSSIA US CHINA n.k DUNIANI
Nb:IRAN Inasakamwa Kwasababu Jamaa Wanailia TIMING Waitwange Ila Kila Wakichungulia Wanaona Watakula Kipigo Wanabakia Kuja na Figisu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maisha yataendeleaje baada ya Nuclear war na Nuclear fallout!?..Kivipi?
Maana kama ni kupigana kwa hizo silaha za maangamizi kwa kiasi kikubwa zitawaadhiri wao pekee na washirika wao na baada ya kufikia Mutual Assured Destruction, jamii nyinginezo zitaendelea na maisha yao kama kawaida.
Au unaonaje?
Hilo suala sio nataka kusema mm hapana hilo suala walishalisema wenyewe viongozi wa RUSSIA Walisema Yakwamba Ikiwa US+NATO Wataweka Silaha Za Masafa Ya Kati(Sio Kambi Zakijeshi Hapana)(SILAHA ZAMASAFA YA KATI) Katika Mipaka Ya RUSSIA Basi Nawao Watajibu Kama Watakavyo Fanya WaoKwaiyo unataka kusema kuwa Russia wanampango wa kuitumia Venezuela kama walivyoitumia Cuba miaka ya nyuma (cold war) ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Huzungumzii Kuhusiana Na Usalama Wadunia Nimekuelewa Maana Dunia Kweli Simahala SalamaOK!
Lakini mimi sizungumzii usalama wa Dunia, by the way, Dunia si mahali salama tangu enzi na enzi. It's a fact!
Na wala sizungumzii maamuzi ya taifa lolote lile juu ya masuala yake ya kiulinzi.
Iko hivi:
Jaribu kupata picha kuwa kila mwenye uwezo wa kuunda silaha za namna hii afanye hivyo.
Achilia mbali majeshi ya nchi, bali ifikie hatua hata wafanya biashara haramu, wahalifu wa kivita, wanamgambo ama makundi mbalimbali ya wapiganaji waliyopo maeneo mbalimbali ulimwenguni yawe katika harakati hizi za kuunda na kuyajaribu makombora yao hadharani.
Mfano, kundi la wapiganaji ama wanamgambo hata 50 tu lijiendeshe kwa silaha za maangamizi ya mpaka watu milioni kadhaa. Maana hakutokuwa na ulazima sana wa kuwa na kundi kubwa la wapiganaji kama kuna IRBMs za kutosha.
Ni nini matokeo yake?