Hayo ni mawazo yakoNadhani Ni vema mtunzi akazingatia mawazo ya wasomaji na kufanya marekebisho then atoe ! kitabu .
Napendekeza asimuue Anita kwani alivumilia MNO MATESO makali kule mke wa rais mtaafu Bi Nkozumi , ningependa kuona akifaidi maisha baada ya Uaminifu ule. Ni vzr pia kumng'arisha zaidi Mathei Kwa uaminifu wake jinsi alivyoweza kutotembea na Paniela na Asha mtoto wa Rais, Zaidi ya Yote Nakushukuru Sana Mr. Lege Kwa Juhudi zako, kitabu kikikamilika tufahamishane ili nikinunue hima
NATAMANI EPISODE YA MWISHO IRUDIWE
Jamaa ni triple agent na anatumikia kwa uaminifu upande wa rais mstaafu mh deusCaptein amos ni double agent aisee...!!....selikarini yumo.na sc 41 kunamuhusu pia....wapi ndipo anatumikia kwa uaminifu....???...
Hapana ni tetra agentJamaa ni triple agent na anatumikia kwa uaminifu upande wa rais mstaafu mh deus
Umenisahau Muzee kamanda Legend myself "John Mwaulaya Albert"Najaribu kuangalia uhalisia wa wahusika wa mwandishi na wahusika wa jf ivi inawezekana kwel
Ilu a.k.a Peniela akawa anagawa tamtam ka paniela na akawa msaliti kwa kiasi kile hii hainiingii akilini kabisa.
Shunie a.k.a Anitha ivi ni kweli shunie ni jasli kiwango cha anitha hii kidogo inawezekana.
Kisu cha ngariba a.k.a Elibaeki hivi inawezekana kweli mwanaume akawa msaliti hii haiwezekani kabisa.
Mambo a.k.a Dr joshua ivi ni kweli ww jamaa ukipewa nchi ndo ivi utakavyoigeuza shamba la bibi
Kweli hii ni zaidi ya story asante lege asante mwandishi
Nadhani Ni vema mtunzi akazingatia mawazo ya wasomaji na kufanya marekebisho then atoe ! kitabu .
Napendekeza asimuue Anita kwani alivumilia MNO MATESO makali kule mke wa rais mtaafu Bi Nkozumi , ningependa kuona akifaidi maisha baada ya Uaminifu ule. Ni vzr pia kumng'arisha zaidi Mathei Kwa uaminifu wake jinsi alivyoweza kutotembea na Paniela na Asha mtoto wa Rais, Zaidi ya Yote Nakushukuru Sana Mr. Lege Kwa Juhudi zako, kitabu kikikamilika tufahamishane ili nikinunue hima
Kukaaa kinya ndo kukaajee? Unaongea kikwenu unadhan wote humu tunatokea utokakoo?Sidhani kama amekutuma haya au umeamua tu kujibwatukia .LEGE ni mstaarabu sana amekaa kinya akina kasungujira ndio kelele nyingi
Haha hahaaaaaKukaaa kinya ndo kukaajee? Unaongea kikwenu unadhan wote humu tunatokea utokakoo?
Me nawashangaa kwa kweli yaani kama vile hamzijui riwaya pendwa. Mtunzi nampa mia kwa mia maana ili kitu kilete hamasa lazima kiende tofauti na mategemeo ya hadhira ili kujenga huruma, chuki au furaha na km ingeenda ktk mategemeo ya watu bas tunasema mtunz kashindwa maana unaweza kutabili mwisho wa riwaya.Code:NATAMANI EPISODE YA MWISHO IRUDIWE
[emoji23][emoji23]Haha hahaaaaa
Hivi zile hela alizowekewa rais kwenye zile account mbili za kingine atazichukua Nani?maana raisi amekufa na aliyeziweka amekufa pia nina uhakika Dr kigomba hawezi kuzichukua hizo pesa maana yupo gerezani..........Ana alikuwa mahututi alikufa au alibaki hai? Anita alizikwa bila ndugu zake kujua ......vip maisha ya edimud na mke wake huko marekani hawakumtafuta kwa nn kawasaliti......Nani alifata kuwa raisi baada ya rais kufa ikiwa wote waliokuwa wamepangwa kungombea walikufa ......
Natamani kuwe na part tu .....but lazima season 5 ibadilishwe ndiyo inawezekana kupatikana ..........
Hongera mwandishi ......LEGE big up brother msalimie mwandishi
Mkuu LEGE salaams.Tulikupa one week ya mapumziko sasa imeisha twende kazi.
24hrs ilinifanya kuwa mtumwa ndani ya wiki nzima sikuangalia hata taarifa ya habari. Hadi leo haipiti wiki bila kuiangalia japo kidogo