Ngoja niwachimbie kaburi kabisaaaa hawa wachumia matumbo (CCM)
Ndugu zangu wa JF nawasalimu.Pengine nianze kwa kumshukuru mwenyezi mungu kwa afya njema aliyonipatia.Kisha niende kwenye mada. Ni Ukweli usiopingika kuwa Upepo wa Magufuli umeanza kupotea na hii imetokana na hatua ya Waziri Mkuu Mstaafu. Mh Edward Ngoyai Lowasa kwenda Chadema. Tunajua rekodi nzuri ya kiutendaji ya Mgombea wa CCM Dk. John P.Magufuli inamuweka katika nafasi ya kushindwa kupambanua kashfa zake, Lakini rekodi mbaya ya Chama Chake+Watu waliomzunguka Na wengine wengi wa aina hiyo wanaweza kusababisha kushuka na kushindwa kwa Magufuli ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu..Pia Ikumbukwe kuwa tafiti mbali mbali zilizowai kufanywa na taasisi mbalimbali mwaka 2015 na 2016 kuhusu mgombea wa urais anayekubalika zaidi, Tafiti nyingi zilimtaja Lowasa kama mgombea anayekubalika zaidi na kufatiwa na Dr. Slaa. Magufuli hakuwepo hata kwenye 5 bora za tafiti zote zilizofanywa. Sasa tunaona muungano wa watu hawa waliotajwa kuongoza ktk tafiti, Lowasa na Slaa wakiwa ktk Chama Kimoja+Mbowe+Lipumba+Mbatia, Nn kitatokea hapo?
Hapa kinachohitajika ni kuiondoa CCM kwanza, mambo mengine baadaya. Nimekutna na vijana wengi sana wanasema safarii lazima waing,0e CCM. Halafu hawa wanaojiita wasomi wa CCM, Hivi CCM kuna wasomi au watu waliudhuria shule. Msomi gani anavimilia uvundo kama huo.
Huna tofauti na mtu anayetukana huku anakimbia!Subiri, Oktoba 25 ndio utafahamu ukweli hayo mengine ni maneno tu hata kwenye Kanga yapo.
Bahati mbaya hili tukio la EL litavuma mpaka october kwenye sanduku la mpiga kura.Upepo wa Magufuli bado haujapotea! Tanzania tunaishi/kwenda kwa matukio. Karibuni tulikuwa na Escrow, baadaye Safari ya Matumaini kisha BVR; Magufuli na sasa Kamanda Lowassa! Kwahiyo, likitokea tukio lingine watu watahamia huko na hasa kipindi cha kampeni.
Ndugu zangu wa JF nawasalimu.Pengine nianze kwa kumshukuru mwenyezi mungu kwa afya njema aliyonipatia.Kisha niende kwenye mada. Ni Ukweli usiopingika kuwa Upepo wa Magufuli umeanza kupotea na hii imetokana na hatua ya Waziri Mkuu Mstaafu.
Mh Edward Ngoyai Lowasa kwenda Chadema. Tunajua rekodi nzuri ya kiutendaji ya Mgombea wa CCM Dk. John P.Magufuli inamuweka katika nafasi ya kushindwa kupambanua kashfa zake, Lakini rekodi mbaya ya Chama Chake+Watu waliomzunguka Na wengine wengi wa aina hiyo wanaweza kusababisha kushuka na kushindwa kwa Magufuli ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Pia Ikumbukwe kuwa tafiti mbali mbali zilizowai kufanywa na taasisi mbalimbali mwaka 2014na 2015 kuhusu mgombea wa urais anayekubalika zaidi, Tafiti nyingi zilimtaja Lowasa kama mgombea anayekubalika zaidi na kufatiwa na Dr. Slaa. Magufuli hakuwepo hata kwenye 5 bora za tafiti zote zilizofanywa. Sasa tunaona muungano wa watu hawa waliotajwa kuongoza ktk tafiti, Lowasa na Slaa wakiwa ktk Chama Kimoja+Mbowe+Lipumba+Mbatia, Nini kitatokea hapo?
Walikaidi maoni ya wananchi, na sasa kinawatokea kibaya baada ya kukaidi matokeo ya tafiti.