Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,614
Kweli mkuu, lakini nani ni Amiri Jeshi Mkuu wake?Zanzibar ina jeshi usu.
Ninafikiri Katiba za JMT na Znz zidurusiwe ili vikosi vya SMZ viingizwe kwenye Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ili viamuriwe na Amiri Jeshi Mkuu. Hii pia itapunguzia SMZ zigo la bajeti ya kuendesha vikosi hivi maana zigo hilo litapewa JMT.Zanzibar ina Rais, ina wimbo wa taifa, ina bendera ya taifa na ya Rais, ina Baraza la Wawakilishi, ina Baraza la Mapinduzi, ina Valantia, Mafunzo na KMKM, ina Serikali Kamili ya Mapinduzi SMZ, ni taifa kamili lililoungana na Tanganyika kutengeneza Tanzania bila kupoteza utaifa wake.
Mojawapo ya sifa za Rais ni kuamuru majeshi yoooote ya Ulinzi na Usalama kwa cheo chake cha Amiri Jeshi Mkuu. Tanzania ina Amiri Jeshi Mkuu mmoja tu anayeamuru majeshi (JWTZ, JKT, Polisi, Magereza, Mgambo, Jeshi Usu la Uhifadhi; Katiba ya JMT Ibara ya147 (2) na (4) ingawa ibara ndogo ya 4 haijataja Jeshi la Mgambo, Jeshi Usu la Uhifadhi, Mafunzo Znz, Valantia na KMKM) ambaye ni Rais wa Muungano (isome Ibara ya 147 pamoja na Ibara ya 148 inayohusu madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu ili upate muktadha mzuri):-
1. Je, vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM vinaamuriwa na Amiri Jeshi Mkuu (Rais wa JMT)? Au vinaamuriwa na Rais wa SMZ (Zanzibar) ambaye siyo Amiri Jeshi Mkuu?
2. Na kama Rais wa JMT hana Mamlaka kuamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM je, vinaamuriwa na nani?
3. Je, ni vibaya kama tukifanya marekebisho ya Katiba ili Rais wa Znz ambaye (naomba nitumie neno huenda) ndiye anayeamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM aitwe Amiri Jeshi wa Vikosi vya SMZ (tumuongezee hiyo title) ili kuweka perspective vizuri kwa vikosi vya SMZ kuamuriwa na Amiri Jeshi pia kama ilivyo itifaki ya majeshi duniani kote? Kwahiyo Rais wa Znz atakuwa na titles za Rais wa SMZ, Mwenyekiti wa BMZ (Baraza la Mapinduzi Zanzibar), Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na AMIRI JESHI WA VIKOSI VYA SMZ (kwa minajili ya itifaki tusimuwekee neno #Mkuu kwenye maneno “Amiri Jeshi Mkuu”).
4. Katiba ya Muungano (ambayo inafanyakazi Znz pia) inazuia mtu, shirika, kikundi isipokuwa serikali kuanzisha majeshi soma Sehemu ya Nane, Sura ya Tisa (Majeshi ya Ulinzi), Ibara ya 147, Ibara ndogo ya (1), uk. 203. Sasa basi, Ibara hii imetaja serikali ndiyo inayoruhusiwa kuunda majeshi lakini haijabainisha ni serikali ipi, ya JMT, ya SMZ au zote?
5. Na kama ni hivyo je, vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM vimeanzishwa na nani? Vinaamuriwa na nani? Anayeviamuru ana wadhifa wa Amiri Jeshi au Amiri Jeshi Mkuu? Je, vikosi hivyo si vinafanyakazi ndani ya mipaka ya JMT? Nani anaamuru ulinzi wa mipaka ya nchi (JMT)?
6. Kama suala la Ulinzi na Usalama ni suala la Muungano je, ni Rais wa JMT ndiye anayeamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM? Au vinaamuriwa na Rais wa SMZ ambaye siye Amiri Jeshi Mkuu na wala siye Rais wa Muungano?
7. Kama tukiruhusu Rais wa Zanzibar awe Amiri Jeshi kwa vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM je, Zanzibar itakuwa na Waziri wake wa Ulinzi (wa vikosi?)
Mwenye ufahamu na Katiba ya Zanzibar atujuze.
Tuko tayari kujifunza ambayo siyo dhambi hii.
Mpaka sasa bara imebeba mzigo wote wa ZanzibarNinafikiri Katiba za JMT na Znz zidurusiwe ili vikosi vya SMZ viingizwe kwenye Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ili viamuriwe na Amiri Jeshi Mkuu. Hii pia itapunguzia SMZ zigo la bajeti ya kuendesha vikosi hivi maana zigo hilo litapewa JMT.
Slow down comrade, Railway Crossing ahead 50m away.Muhimu muungano uvunjwe huyu bibi akaongoze kwao tumemchoka
tetetete tumalizane naye kabisa, tunatawaliwa na mtu ambaye siyo raiaSlow down comrade, Railway Crossing ahead 50m away.
Jeshi USU maana yake nini ?Hayo ni majeshi USU kama mgambo, wanyama pori TANAPA na Mgambo, shida iko wapi? Hata kukimbiza magendo wafanye JWTZ? Valantia hawaendi front line kulinda mipaka.
Ni wazo zuri. Kwenye 2. Nani anaamrisha jeshi usu la uhifadhi na mganbo wakati hayakutajwa kwenye katiba? Katiba yetu inaitambua Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hivyo serikali kuunda vikosi maalum - siyo jeshi - inayo mamlaka. Rais kule Zanzibar ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekititi wa BLM na sio Rais wa serkali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Mimi naunga mkono katiba kutazamwa upya na kufayiwa marekebisho kwa maslahi ya pande zote mbili na sio upande mmoja tu.Zanzibar ina Rais, ina wimbo wa taifa, ina bendera ya taifa na ya Rais, ina Baraza la Wawakilishi, ina Baraza la Mapinduzi, ina Valantia, Mafunzo na KMKM, ina Serikali Kamili ya Mapinduzi SMZ, ni taifa kamili lililoungana na Tanganyika kutengeneza Tanzania bila kupoteza utaifa wake.
Mojawapo ya sifa za Rais ni kuamuru majeshi yoooote ya Ulinzi na Usalama kwa cheo chake cha Amiri Jeshi Mkuu. Tanzania ina Amiri Jeshi Mkuu mmoja tu anayeamuru majeshi (JWTZ, JKT, Polisi, Magereza, Mgambo, Jeshi Usu la Uhifadhi; Katiba ya JMT Ibara ya147 (2) na (4) ingawa ibara ndogo ya 4 haijataja Jeshi la Mgambo, Jeshi Usu la Uhifadhi, Mafunzo Znz, Valantia na KMKM) ambaye ni Rais wa Muungano (isome Ibara ya 147 pamoja na Ibara ya 148 inayohusu madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu ili upate muktadha mzuri):-
1. Je, vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM vinaamuriwa na Amiri Jeshi Mkuu (Rais wa JMT)? Au vinaamuriwa na Rais wa SMZ (Zanzibar) ambaye siyo Amiri Jeshi Mkuu?
2. Na kama Rais wa JMT hana Mamlaka kuamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM je, vinaamuriwa na nani?
3. Je, ni vibaya kama tukifanya marekebisho ya Katiba ili Rais wa Znz ambaye (naomba nitumie neno huenda) ndiye anayeamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM aitwe Amiri Jeshi wa Vikosi vya SMZ (tumuongezee hiyo title) ili kuweka perspective vizuri kwa vikosi vya SMZ kuamuriwa na Amiri Jeshi pia kama ilivyo itifaki ya majeshi duniani kote? Kwahiyo Rais wa Znz atakuwa na titles za Rais wa SMZ, Mwenyekiti wa BMZ (Baraza la Mapinduzi Zanzibar), Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na AMIRI JESHI WA VIKOSI VYA SMZ (kwa minajili ya itifaki tusimuwekee neno #Mkuu kwenye maneno “Amiri Jeshi Mkuu”).
4. Katiba ya Muungano (ambayo inafanyakazi Znz pia) inazuia mtu, shirika, kikundi isipokuwa serikali kuanzisha majeshi soma Sehemu ya Nane, Sura ya Tisa (Majeshi ya Ulinzi), Ibara ya 147, Ibara ndogo ya (1), uk. 203. Sasa basi, Ibara hii imetaja serikali ndiyo inayoruhusiwa kuunda majeshi lakini haijabainisha ni serikali ipi, ya JMT, ya SMZ au zote?
5. Na kama ni hivyo je, vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM vimeanzishwa na nani? Vinaamuriwa na nani? Anayeviamuru ana wadhifa wa Amiri Jeshi au Amiri Jeshi Mkuu? Je, vikosi hivyo si vinafanyakazi ndani ya mipaka ya JMT? Nani anaamuru ulinzi wa mipaka ya nchi (JMT)?
6. Kama suala la Ulinzi na Usalama ni suala la Muungano je, ni Rais wa JMT ndiye anayeamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM? Au vinaamuriwa na Rais wa SMZ ambaye siye Amiri Jeshi Mkuu na wala siye Rais wa Muungano?
7. Kama tukiruhusu Rais wa Zanzibar awe Amiri Jeshi kwa vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM je, Zanzibar itakuwa na Waziri wake wa Ulinzi (wa vikosi?)
Mwenye ufahamu na Katiba ya Zanzibar atujuze.
Tuko tayari kujifunza ambayo siyo dhambi hii.
Ila mama yupo. Atabakia mpaka muda wake wa kuondoka ufike.Muhimu muungano uvunjwe huyu bibi akaongoze kwao tumemchoka
Muungano usiwepoZanzibar ina Rais, ina wimbo wa taifa, ina bendera ya taifa na ya Rais, ina Baraza la Wawakilishi, ina Baraza la Mapinduzi, ina Valantia, Mafunzo na KMKM, ina Serikali Kamili ya Mapinduzi SMZ, ni taifa kamili lililoungana na Tanganyika kutengeneza Tanzania bila kupoteza utaifa wake.
Mojawapo ya sifa za Rais ni kuamuru majeshi yoooote ya Ulinzi na Usalama kwa cheo chake cha Amiri Jeshi Mkuu. Tanzania ina Amiri Jeshi Mkuu mmoja tu anayeamuru majeshi (JWTZ, JKT, Polisi, Magereza, Mgambo, Jeshi Usu la Uhifadhi; Katiba ya JMT Ibara ya147 (2) na (4) ingawa ibara ndogo ya 4 haijataja Jeshi la Mgambo, Jeshi Usu la Uhifadhi, Mafunzo Znz, Valantia na KMKM) ambaye ni Rais wa Muungano (isome Ibara ya 147 pamoja na Ibara ya 148 inayohusu madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu ili upate muktadha mzuri):-
1. Je, vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM vinaamuriwa na Amiri Jeshi Mkuu (Rais wa JMT)? Au vinaamuriwa na Rais wa SMZ (Zanzibar) ambaye siyo Amiri Jeshi Mkuu?
2. Na kama Rais wa JMT hana Mamlaka kuamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM je, vinaamuriwa na nani?
3. Je, ni vibaya kama tukifanya marekebisho ya Katiba ili Rais wa Znz ambaye (naomba nitumie neno huenda) ndiye anayeamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM aitwe Amiri Jeshi wa Vikosi vya SMZ (tumuongezee hiyo title) ili kuweka perspective vizuri kwa vikosi vya SMZ kuamuriwa na Amiri Jeshi pia kama ilivyo itifaki ya majeshi duniani kote? Kwahiyo Rais wa Znz atakuwa na titles za Rais wa SMZ, Mwenyekiti wa BMZ (Baraza la Mapinduzi Zanzibar), Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na AMIRI JESHI WA VIKOSI VYA SMZ (kwa minajili ya itifaki tusimuwekee neno #Mkuu kwenye maneno “Amiri Jeshi Mkuu”).
4. Katiba ya Muungano (ambayo inafanyakazi Znz pia) inazuia mtu, shirika, kikundi isipokuwa serikali kuanzisha majeshi soma Sehemu ya Nane, Sura ya Tisa (Majeshi ya Ulinzi), Ibara ya 147, Ibara ndogo ya (1), uk. 203. Sasa basi, Ibara hii imetaja serikali ndiyo inayoruhusiwa kuunda majeshi lakini haijabainisha ni serikali ipi, ya JMT, ya SMZ au zote?
5. Na kama ni hivyo je, vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM vimeanzishwa na nani? Vinaamuriwa na nani? Anayeviamuru ana wadhifa wa Amiri Jeshi au Amiri Jeshi Mkuu? Je, vikosi hivyo si vinafanyakazi ndani ya mipaka ya JMT? Nani anaamuru ulinzi wa mipaka ya nchi (JMT)?
6. Kama suala la Ulinzi na Usalama ni suala la Muungano je, ni Rais wa JMT ndiye anayeamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM? Au vinaamuriwa na Rais wa SMZ ambaye siye Amiri Jeshi Mkuu na wala siye Rais wa Muungano?
7. Kama tukiruhusu Rais wa Zanzibar awe Amiri Jeshi kwa vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM je, Zanzibar itakuwa na Waziri wake wa Ulinzi (wa vikosi?)
Mwenye ufahamu na Katiba ya Zanzibar atujuze.
Tuko tayari kujifunza ambayo siyo dhambi hii.
Mgambo huamrishwa na Wakurugenzi wa Halmashauri!!Hayo ni majeshi USU kama mgambo, wanyama pori TANAPA na Mgambo, shida iko wapi? Hata kukimbiza magendo wafanye JWTZ? Valantia hawaendi front line kulinda mipaka.
Lakini ina kiti UN kisichokaliwaWala wa UN🌐
Zanzibar ina Rais, ina wimbo wa taifa, ina bendera ya taifa na ya Rais, ina Baraza la Wawakilishi, ina Baraza la Mapinduzi, ina Valantia, Mafunzo na KMKM, ina Serikali Kamili ya Mapinduzi SMZ, ni taifa kamili lililoungana na Tanganyika kutengeneza Tanzania bila kupoteza utaifa wake.
Mojawapo ya sifa za Rais ni kuamuru majeshi yoooote ya Ulinzi na Usalama kwa cheo chake cha Amiri Jeshi Mkuu. Tanzania ina Amiri Jeshi Mkuu mmoja tu anayeamuru majeshi (JWTZ, JKT, Polisi, Magereza, Mgambo, Jeshi Usu la Uhifadhi; Katiba ya JMT Ibara ya147 (2) na (4) ingawa ibara ndogo ya 4 haijataja Jeshi la Mgambo, Jeshi Usu la Uhifadhi, Mafunzo Znz, Valantia na KMKM) ambaye ni Rais wa Muungano (isome Ibara ya 147 pamoja na Ibara ya 148 inayohusu madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu ili upate muktadha mzuri):-
1. Je, vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM vinaamuriwa na Amiri Jeshi Mkuu (Rais wa JMT)? Au vinaamuriwa na Rais wa SMZ (Zanzibar) ambaye siyo Amiri Jeshi Mkuu?
2. Na kama Rais wa JMT hana Mamlaka kuamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM je, vinaamuriwa na nani?
3. Je, ni vibaya kama tukifanya marekebisho ya Katiba ili Rais wa Znz ambaye (naomba nitumie neno huenda) ndiye anayeamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM aitwe Amiri Jeshi wa Vikosi vya SMZ (tumuongezee hiyo title) ili kuweka perspective vizuri kwa vikosi vya SMZ kuamuriwa na Amiri Jeshi pia kama ilivyo itifaki ya majeshi duniani kote? Kwahiyo Rais wa Znz atakuwa na titles za Rais wa SMZ, Mwenyekiti wa BMZ (Baraza la Mapinduzi Zanzibar), Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na AMIRI JESHI WA VIKOSI VYA SMZ (kwa minajili ya itifaki tusimuwekee neno #Mkuu kwenye maneno “Amiri Jeshi Mkuu”).
4. Katiba ya Muungano (ambayo inafanyakazi Znz pia) inazuia mtu, shirika, kikundi isipokuwa serikali kuanzisha majeshi soma Sehemu ya Nane, Sura ya Tisa (Majeshi ya Ulinzi), Ibara ya 147, Ibara ndogo ya (1), uk. 203. Sasa basi, Ibara hii imetaja serikali ndiyo inayoruhusiwa kuunda majeshi lakini haijabainisha ni serikali ipi, ya JMT, ya SMZ au zote?
5. Na kama ni hivyo je, vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM vimeanzishwa na nani? Vinaamuriwa na nani? Anayeviamuru ana wadhifa wa Amiri Jeshi au Amiri Jeshi Mkuu? Je, vikosi hivyo si vinafanyakazi ndani ya mipaka ya JMT? Nani anaamuru ulinzi wa mipaka ya nchi (JMT)?
6. Kama suala la Ulinzi na Usalama ni suala la Muungano je, ni Rais wa JMT ndiye anayeamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM? Au vinaamuriwa na Rais wa SMZ ambaye siye Amiri Jeshi Mkuu na wala siye Rais wa Muungano?
7. Kama tukiruhusu Rais wa Zanzibar awe Amiri Jeshi kwa vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM je, Zanzibar itakuwa na Waziri wake wa Ulinzi (wa vikosi?)
Mwenye ufahamu na Katiba ya Zanzibar atujuze.
Tuko tayari kujifunza ambayo siyo dhambi hii.
Tutamalizana naye hata kwa sangomaIla mama yupo. Atabakia mpaka muda wake wa kuondoka ufike.