Pendeza na saa kali mkononi

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,838
Tunauza saa za kukufanya upendeze na uwe na muonekano wa kipee, tunapatikana Dar es Salaam, Chuo kikuu mlimani. Popote ulipo tunakufikishia mzigo wako, bei yake ni sh. 18,000 kwa saa moja na ukinunua zaidi ya tano tunakuuzia kwa bei ya jumla. Angalieni picha, KARIBUNI SANA.
 
Mi nataka kumi kwaajili ya kupeleka dukani kwangu. NakuPM mkuu
 
NIPM NAMBA YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…