Jamani katika kile kilichodaiwa kuwa ni udhalilishaji na unyanyasaji jamaa mmoja hapa kiteto amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukutwa gesti na mwanaume mwenzake mtoto tena mwenye matatizo ya akili amekamatwa live na polisi kwa kuvunja mlango wa chumba cha gest
Huyo anahitaji ushauri nasaha....
Kwani kama ameweza kumchukua huyo kijana na kwenda naye gest hausi ina maana angeleweza kuchukua mbadala...dada poa ukizingatia hadi hela ya gesti anayo....