B Balacuda JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 1,389 Reaction score 715 Mar 25, 2017 #1 Mkuu invisible na wenzako. napendekeza kama itawazekana lianzishwe jukwaa ambalo wachangiaji wake ni verified users ili tuone kama inaweza kuongeza ufanisi na uwajibikaji katika uchangiaji wa hoja (kama majaribio)
Mkuu invisible na wenzako. napendekeza kama itawazekana lianzishwe jukwaa ambalo wachangiaji wake ni verified users ili tuone kama inaweza kuongeza ufanisi na uwajibikaji katika uchangiaji wa hoja (kama majaribio)
Danpol JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 5,747 Reaction score 9,036 Mar 25, 2017 #2 Verified users ni watu wa aina gani hao
911 Platinum Member Joined Aug 22, 2008 Posts 857 Reaction score 506 Mar 25, 2017 #3 Huenda mkaishia kupeana salamu na kujulishana kilichojiri magazetini tu!
Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,111 Mar 25, 2017 #4 Unataka kujenga group la waoga na wanaomsifia mkulu hapa JF. . Hatutaki Narudia HATU TAKI
Felix Aweda JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 507 Reaction score 145 Mar 25, 2017 #5 Hayo mambo ya Verified users yapo WhatsApp maana huwezi kuficha hat a Number. Mtaishia Jela. Huoni a kina malisa na nyerere wanahofu kuchangia humu?
Hayo mambo ya Verified users yapo WhatsApp maana huwezi kuficha hat a Number. Mtaishia Jela. Huoni a kina malisa na nyerere wanahofu kuchangia humu?
C cheu yang Senior Member Joined Mar 4, 2017 Posts 115 Reaction score 83 Mar 25, 2017 #6 ameshindwa kuleta mada huyu