ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,583
- 44,827
Unajua Kiingereza au hupendi lugha za mabeberu ?Wakuu naombeni mnitajie maarifa ambayo kama nikiamua ku deal nayo nikayapa muda wa kutosha kujifunza katika mtandao basi nitapiga hela.maana nasikia Kuna watu wanasema pesa ipo tu hewani ni wewe tu kuidownload yaani kuivuta ndo maana tunaona vijana wanakunywa tu bia na kushinda bar halafu ukiwafuatilia hamna kazi wanayofanya nasikia wenyewe kifaa chao Ni computer au simu tu.kwa hiyo nipeni mwongozo niamue kuumiza akili kwenye technology ili nipige pesa.kati ya freelancer, betting,forex, n.k.
Niko tayari kujifungia ndani nikomae usiku na mchana ili niwe master wa kuvuta pesa ili mradi sitaki tu michezo ya kifreemason.
Ni mgonjwa ?Afadhali hata we unatafuta mchongo upige ela
Wengine hata hizo nguvu hazipo naona giza tu
Natamani utokee muujiza nipate walau laki 2 niokoe maisha ya maza angu
Pole sana ...pesa ndo kila kitu ukiwa nayo hata ukitaka kuwa mtu fulani unakuwa.ila ukizikosa na huku watakuona umechizika kdgAfadhali hata we unatafuta mchongo upige ela
Wengine hata hizo nguvu hazipo naona giza tu
Natamani utokee muujiza nipate walau laki 2 niokoe maisha ya maza angu
Kingereza nilikua najua shuleni ila nilivyotoka huko kuja mtaani SI ndio lomoni nyingi kwa mtaa nahisi uwezo umepungua kwenye kuongea ila inshort najua maneno mengi kwa hiyo kazi kama ya kuandika au kusoma nitafaulu nisaidie kakaUnajua Kiingereza au hupendi lugha za mabeberu ?
Mama anashida gan?Afadhali hata we unatafuta mchongo upige ela
Wengine hata hizo nguvu hazipo naona giza tu
Natamani utokee muujiza nipate walau laki 2 niokoe maisha ya maza angu
Pole sana kiongozi naamini Mungu atakuwa pamoja nasi. Pole sanaAfadhali hata we unatafuta mchongo upige ela
Wengine hata hizo nguvu hazipo naona giza tu
Natamani utokee muujiza nipate walau laki 2 niokoe maisha ya maza angu
Pole sana mama anatatizo gani mkuu?Afadhali hata we unatafuta mchongo upige ela
Wengine hata hizo nguvu hazipo naona giza tu
Natamani utokee muujiza nipate walau laki 2 niokoe maisha ya maza angu
Jifunze kujipendekeza kwa mastaa kama Harmo rapaWakuu naombeni mnitajie maarifa ambayo kama nikiamua ku deal nayo nikayapa muda wa kutosha kujifunza katika mtandao basi nitapiga hela maana nasikia Kuna watu wanasema pesa ipo tu hewani ni wewe tu kuidownload yaani kuivuta ndo maana tunaona vijana wanakunywa tu bia na kushinda bar halafu ukiwafuatilia hamna kazi wanayofanya nasikia wenyewe kifaa chao Ni computer au simu tu.kwa hiyo nipeni mwongozo niamue kuumiza akili kwenye technology ili nipige pesa.kati ya freelancer, betting,forex, n.k.
Niko tayari kujifungia ndani nikomae usiku na mchana ili niwe master wa kuvuta pesa ili mradi sitaki tu michezo ya kifreemason.
As you are waiting for that thing to happen what are you doing towards that thing ?Afadhali hata we unatafuta mchongo upige ela
Wengine hata hizo nguvu hazipo naona giza tu
Natamani utokee muujiza nipate walau laki 2 niokoe maisha ya maza angu
ushafeli hapaili nipige pesa
YesNi mgonjwa ?
Shida iko kichwani siez andika sana hapa kwa kirefuPole sana mama anatatizo gani mkuu?
Nothing bro,nothingAs you are waiting for that thing to happen what are you doing towards that thing ?
Ana maumivu makali sana kichwani as aliangukaMama anashida gan?
NdioNi mgonjwa ?