Pendaeli aliifanya TBC iwe juu kwenye habari na hasa za michezo, kuna kipindi alishika uhariri wa michezo na kiukweli kapotea sana, nadhani hapa tutaelezwa yupo wapi.
Yeye na Msami walikuwa wako huru mbele ya kamera, hawakakamai kama wengine na utapenda kuangalia wanachotangaza. Nilisoma mahali kuwa Msami yupo BBC, ni ya kweli haya