simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
mkuu naomba tofauti ya haya maneno mawili kwa kiswahili nielewe mada vizuriSAMAHANI WAKUU KICHWA CHA HABARI NIMEKOSEA KINATAKIWA KIWE "PEACE ENFORCING NI BORA KULIKO PEACEKEEPING "
Peacekeeping ni mission ya kulinda amani hutakiwi kuanzisha mashambulizi unless uanzwe ndo unajibu. Hii ndo masoja wengi hujikuta wakila ambushmkuu naomba tofauti ya haya maneno mawili kwa kiswahili nielewe mada vizuri
anhaa hapo nimekuelewa kiongoziPeacekeeping ni mission ya kulinda amani hutakiwi kuanzisha mashambulizi unless uanzwe ndo unajibu. Hii ndo masoja wengi hujikuta wakila ambush
Peace enforcing ni unaruhusiwa kuanzisha mashambulizi kila umuanapo adui ni Kama ile ya jwtz Vs M23 kule Kongo. walienda kupambana na wahasi.
Pamoja sanaanhaa hapo nimekuelewa kiongozi