PCI Tanzania Jobs (5 Positions)

Ally Msangi

JF-Expert Member
Jun 29, 2010
608
120
PCI is a non profit organization dedicated to preventing disease, improving community health, and promoting sustainable development worldwide. With support from United States Department of Agriculture (USDA), PCI Tanzania will be implementing the final phase of Food for Education (FFE) programming in the Mara region (2017-2021).

The goal of the program is to improve literacy among primary school students, and increased use of health and dietary practices.

PCI is now announcing vacancies for the various positions bellow.

Job Position: School Feeding Associate - 2 Posts

Location: There are two openings for this position. One is based in Bunda and the other is based in Butiama.

Click here for more details and how to apply

Job Position: Driver - 2 Posts

Location: There are two openings for this position. One is based in Musoma and the other is based in Arusha.

Click here for more details and how to apply

Job Position: Women Empowered (WE) Support Officer

Location: The position is based at the PCI Arusha Office with work in Longido and Monduli districts.

Click here for more details and how to apply

DEADLINE:
A first review of candidates will happen after 21st January, 2017.

PCI is an Equal Opportunity Employer. Only Successful Candidate will be contacted.
 
kuishi mkoani ukiwa umeajiriwa na kuishi dar ukiwa jobless ? hard to choose, but hell yeah,nabakia Dar !
Uko serious mkuu?? Aisee, jaribu kutembelea huko unakokuita 'mkoani' na ukae kae huko, uone fursa zilivyo nyingi, na maisha yanavyoenda vizuri tuu. Usiwe na thinking ya aina hii mkuu, italurudisha nyuma sana. Kuna watu wanaishi huko 'mkoani' wanafanya mambo yao na wakitaka kuja dar ni ishu ya lisaa limoja tu, wameshatua dar.
Mimi nilizaliwa na kukulia dar, nilikuwa na the same thinking kama ya kwako. Kwamba siwezi kung'oka dar kirahisi rahisi. Akili na upeo wangu ulifunguka nilipokuwa chuo kikuu katika mkoa mmojawapo nchini; Nikaweza kuwa na biashara inayoniingizia pesa nikiw chuo kirahisi mno na kwa gharama ambayo kwa Dar isingewezekana kabisa. Sasa hivi nimesettle kabisa huku mkoani,nina familia na nimejestablish huku nina vitega uchumi kadhaa, maisha yanaenda.
So mkuu, unless umeji establish hapo dar un mishe zinazokuingizia a significant income regularly, do not have that attitude.
WhySoSerious
 
sawa mkuu

sawa mkuu nimekusoma , nitafanyia kazi, well said.
 
kuishi mkoani ukiwa umeajiriwa na kuishi dar ukiwa jobless ? hard to choose, but hell yeah,nabakia Dar !

Nadhani Dr. Wansegamila ametoa ushauri mzuri sana. Huko mnakokuita mkoani ndiko hao wanao tanua dar wameinvest zaidi.. Tazama miji kama mwanza, arusha,Kilimanjaro, dodoma, mbeya, kigoma kuna fursa ambazo kwa vijana wanao anza kazi zikawa ndio mwanzo wa kuwatoa kiuchumi tofauti na mazingira ya dar.
 
Back
Top Bottom