PCB kusomea kozi ya chemical and industrial engineering

Nsaidieni
Kumbe kuna tofauti kati ya chemical and industrial engineering vs industrial management?
Tofauti ipoje kwa ajira na kila kitu?
 
Nsaidieni
Kumbe kuna tofauti kati ya chemical and industrial engineering vs industrial management?
Tofauti ipoje kwa ajira na kila kitu?
Sijawahi kuona kozi inaitwa chemical and industrial engineering hapa tz! Ila kama una maanisha chemical and processing engineering then jibu lipo wazi, chemical iko juu... Ila lazina uwe umesoma na kufaulu pcm!!
 
I mean ile industrial management ya mzumbe na indusrial engineering ya udsm
 
Mkuu ahsante Kwa Maelezo yako ya Kina juu ya Fani hii!
Lakini Kwenye maelezo yako umeibua swali mwishoni!
Je unaweza Kuwa effective manager viwandani bila Kupitia kuwa an Engineer?

Unaifahamu alibaba? Je jackma ni mtu wa IT? je unamfamu dangote? Je dangote ni mtaalam wa viwanda?

Lakini ni vyema pia ukajua management na leadership ni skills ambazo mtu anazaliwa nazo au anasomea!

Labda nikuulize swali lingine,je unajua tofauti ya manager na leader?

Manager lazima iwe na technical knowhow ila leader sio lazima...

So jibu lako naweza sema ni vyema ukawa na ujuzi wa unacho ki manage!!

Kwa kuongezea tena, mtu aliyesomalea industrial ya mzumbe huwezi mkuta kwenye mitambo yeye ataishia kwenye kuhakikisha kiwanda kinasonga mbele kiuchumi...

All in all, ningekua natoa kazi basi ningempa engineer maana najua wao wanajua mitambo pia wana basics za uchumi na management!!
 
I mean ile industrial management ya mzumbe na indusrial engineering ya udsm
Ajira kwa sasa hivi hazitabiriki mkuu... Ila kama ni probability basi mtu wa indistrial engineering ya udsm ana nafasi kubwa zaidi!!

By the way kwanin usisome mechanical engineering ambayo inapita kote kuanzia kwenye viwanda, ujenzi, usafiri mpaka kwenye kilimo??
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukimaliza chuo utajua na utakuja Hapa kuomba msaada.

Yaani Mie naona ni bora ukasomee kuwa mwalimu wa kemia au bailogia.

Mark my words
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Nsaidieni
Kumbe kuna tofauti kati ya chemical and industrial engineering vs industrial management?
Tofauti ipoje kwa ajira na kila kitu?
Mkuu Inategemea Na Vision yako...
Kama Unataka Kuwa Expert/Engineer better soma Udsm Industrial engineering management Au Kama in Management decision making Na Huitaji Baadae Kuwa Registered Engineer Soma Mzumbe!
Pia yote haya in kama Pia Unategemea 85% Kuwa Employed!
 
MECHANICAL ENGINEERING NI COURSE NZURI NA YENYE UWANJA MPANA SANA KWA SISI WATOTO WA MASKINI,MUHIMU NI KUKOMAA MAANA NASKIA NI HATARI HUKO KWA WANAOSOMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…