PCB kusomea kozi ya chemical and industrial engineering

Jipe moyo hupajui mtaani vizuri wew na hiyo phamacy yako.... Usijiaminishe sana.... maisha ni hayakaririwi mkuu.... utaelewa ukimaliza chuo
Wewe ndo unasema hivo na ujui opportunity walizo nazo pharmacist hapa tu kuna mother anataka afungue pharm nkimalza naweka cheti navuta mpunga...ujui kaa kimya
 
Jamani kwa anaefahamu kuhusu kozi ya chemical and industrial engineering kama mtu was PCB anaweza somea na vigezo vyake , please anisaidia . thanks
Mkuu PCM ndio the best combination katika kozi hizo.Sioni nafasi ya Biology kwenye kozi tajwa kabisa.Kwa hiyo obviously requirement hapo ni PCM.
 
Asee kwa namna hii bora pharmacy
 
Apart na kozi za afya ,mtu wa PCB anaweza akasoma kozi gani?

Upepo was Pesa!
Umeongea Safi Sana sana "Like"
But Sikh za Hivi Karibuni Course Kama Industrial Engineering and Management inatolewa Udsm na Mzumbe,
Content zake hizi ni tofauti Kwa Kweli Na Engineering per see kama Chemical&Process au Mechanical,
Hii Industrial engineering and Management ya Udsm na Mzumbe naona Zote Ni Management ya Viwandani! Though ya Udsm ni 4 years na MU ni 3 year's!
Nimeangalia Content za vyuo Vyote Hakuna Maabara ni managerial Decision making tuu ktk viwanda na Workshop!
We we Una Mawazo Gani juu ya hili
Uku nikitambua Wewe Ni Mhandisi!
 
Nimekuelewa mkuu!! Japo uliposema "hakuna maabara" ndipo umenipiga chenga... Ila...

Ila kitu unatakiwa ujue ni hiki, hamna kozi ya uhandisi inatolewa kwa miaka mitatu kwa mtu aliye maliza form6...

Pili

Industrial engineering ya udsm ni pure engineering haina siasa ndani... Ukiangalja modules zao utaona wanaanza na modules za engineering mechanics, engineering drawings, material technology, electrical engineering, mathematics for engineers na computer programming in c!!

Ile ya mzumbe huwezi kuta engineering drawings wala mechanics leave alone fluid mechanics na advance mathematics plus material technology!!

Industrial engineering ya udsm ni kama subset ya mechanical engineering sema wao hawapo general kama mechanical ndio maana wamebase kwenye uhandisi wa viwanda!!

Kwa nnavyoona ni bora usome mechanical engineering yenye wigo mpana kuliko industrial ambayo ina base kwenye viwanda tu!!

Kwa kifupi ya mzumbe inamuandaa mtu awe manager wa viwanda vya uzalizashaji na sio engineer na udsm inamuandaa mtu kwanza awe engineer pili awe manager wa viwanda!!
 
Upepo was Pesa!
Umeongea Safi S!
Nimeangalia Content za vyuo Vyote Hakuna Maabara ni managerial Decision making tuu ktk viwanda na Workshop!
We we Una Mawazo Gani juu ya hili
Uku nikitambua Wewe Ni Mhandisi!

Mkuu monaco hii sehemu ya mwisho ilinichanganya kidogo ila iko hivi...

Kwanza nimeona umeilinganisha na chemical engineering alafu ukauliza mbona hamna maabara!!

Mkuu hapa sijajua unaongelea maabara gani ila ziko nyingi au ulikua una maanisha kwanini hawasomi jinsi ya ku process food stuffs au vinywaji kama chemical engineers??

Kama ulicho maanisha ni hiki basi naomba ujue kitu kimoja mtu wa industrial ana deal sana na mitambo na machines za viwandani kuanzia boilers mpaka motor za kawaida yeye hataenda kuandaa solutions wala ku test kama bia au juice ina contents zipi!!

Yeye anahakikisha kiwanda kina run bila shida na kama kuna shida ya mitambo basi anarekebisha au ku design mipya!!

Labda nikuache na swali hili, je injinia akiwa anatest strength ya nondo au beams je anafanyia maabara au wapi?? Kama anafanyia maabara basi jua hata industrial engineer anaingia maabara ila sio kwa ajili ya kutest content ya products bali kutest materials kwa ajili ya mitambo ikiwemo shafts, bearings and the alike!!
 
Ha ha ha mambo yanabadilika.Hii ni Pharmacy ya kipindi kile lakini sasa hivi mfamasia ndio anatafuta Pharmacy badala ya kutafutwa kama zamani

Wafamasia now ni wengi kuliko Pharmacy zenyewe.MUHAS,CUHAS,SJUT,KIU plus wanaoenda abroad kila mwaka

Mkuu soma tu Pharmacy ila angalia usije pata depression baada ya kukuta matarajio yako sio
Asante mkuu kwa kutambua hilo pharmacy ndo kila kitu kwa sasa namalizia ka mwaka kangu nianze cheza na dawa na pesa at the same time
 
Asee kwa namna hii bora pharmacy
Kitu ambacho wengi tunakosea ni kusoma kozi kisa wanadhan ina ajira, je unakumbuka vijana walisoma petrolium engineering?? Sasa hivi wako wapi??

Pharmacy ni hot cake always ila hiyo tu haitoshi kaa chini jichunguze kwa umakini na ujiulize je mimi napenda nini? Je napenda md je napenda ualimu je napenda pharmacy??

Nakumbuka by then Tumemaliza form six tulikua na mwenzetu ambaye alisoma pcm he was good katika angle zote kuanzia phy chem mpaka pure tuloamini angeemda kusoma civil ila mwisho wa siku akaenda kusoma BAF!!

Mimi ningekushauri usome pharmacy kama ukifaulu vizuri ila lazima ujue mafanikio yako hayataletwa kwa kisoma pharmacy au engineering au md bali yataletwa kwa kusoma na kufanya kazi unayoipenda toka moyoni!!
 
Ndio maana nikashauri atulie ajiulize ninj anapenda na akijua akasomee hicho hicho...

Na kama anapenda pharmacy hata kama akija mtaan akikuta hali mbaya hatajuta maana anajua amesome anachopenda!!
 
Ndio maana nikashauri atulie ajiulize ninj anapenda na akijua akasomee hicho hicho...

Na kama anapenda pharmacy hata kama akija mtaan akikuta hali mbaya hatajuta maana anajua amesome anachopenda!!
Sawa nilkua naangalia alternative way
 
Sawa nilkua naangalia alternative way
Tuko pamoja mkuu, kiukweli hamna kazi ngumu kama kuchagua career path!! Ni ngumu sana hata sisi tulipitia huko na tunajua!! Mi nikutakie kila la heri na usisite kuuliza unapokwama... Do research nje na ndani yako naimani utapata jibu!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukimaliza chuo utajua na utakuja Hapa kuomba msaada.


Yaani Mie naona ni bora ukasomee kuwa mwalimu wa kemia au bailogia.


Mark my words
 
Safi Sana Mkuu[emoji106] [emoji115]
 
Mkuu ahsante Kwa Maelezo yako ya Kina juu ya Fani hii!
Lakini Kwenye maelezo yako umeibua swali mwishoni!
Je unaweza Kuwa effective manager viwandani bila Kupitia kuwa an Engineer?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…