Nashukuru kwa msaada. Ila nilikuja kugundua kuwa ToolKit ilikuwa haifanyi kazi kwangu sababu ya Antivirus kweli. Nimegunduaa too late kitu kilichopelekea kupiga chini window. Now maisha yanasonga
Mara nyingi huwa inategemea na matumizi yako binafsi,ungefanya tafakari kwanza unahitaji kwa matumizi gani then ni rahisi kwa wadau kuja na mawazo yao tofauti.