Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,136
Driver Kwa iyo nifanyaje?Drivers
Andika vizuri mi hata sijakuelewa kuanzia hapo ulipoandika "inagoma shida.........Wakuu salam kwanza
Kama uzi unavyojieleza pc dell latitude D 830. Ina shida ya wireless internet service inagoma shida ni na ina chagua flash na sim android Izi mpya zinakataa kusoma shida ni nini?
Hakuna uhusiano Kati ya drivers? na windows alaf naona massage kua windows is not guinineDrivers
Kugoma =kufelAndika vizuri mi hata sijakuelewa kuanzia hapo ulipoandika "inagoma shida.........
Moderm haisomi mkuuTumia modem, mbona unataka show off mzee!
Basi itakuwa na tatizo kati hizo poti..Moderm haisomi mkuu
Mkuu umeomba msaada kisha unaanza kubishia ulichoshauriwa kama vile unajua suluhisho!Hakuna uhusiano Kati ya drivers? na windows alaf naona massage kua windows is not guinine
Kwa Sasa tangu ipo windows 7 professionals tangu ninunue mkuuMkuu umeomba msaada kisha unaanza kubishia ulichoshauriwa kama vile unajua suluhisho!
USHAURI/MAONI YANGU
Hilo tatizo la wireless linasababishwa na
(1). Kukosekana kwa driver sahihi za WLAN Card, au hizo Driver zimeingia shida jaribu kufanya update au ku-reinstall upya.
(2). Wireless Adapter ya hiyo laptop imekufa:- Kanunue usb wireless adapter ipo ndogo sna unachomeka kama flash unapata net kama kawaida.
Kwa uzoefu wangu hizo Dell Latitude D830 zimetengenezwa zamani sana mwaka 2007 kwa hivyo hata kwa umri huo asilimia 80% na zaidi itakuwa imekufa hiyo wireless adapter yake.
Tatizo la kuchagua Flash na simu device za android ni drivers za hizo device hakuna ktk laptop yako au ni outdated au sio compatible na hardware yako hasa motherboard/main board yako ina chip sets za zamani.
NB: Hata kama tatizo ni OS yako lakini bado hiyo PC yako ni ya zamani sana nahisi haitakubali woindows za kisasa kama windows 10 hivyo kuna baadhi ya drivers za kisasa hasa za hizo simu(au device) zenye android za kisasa. Tueleze umeweka OS ya windows version gani?
Kwa iyo mkuu kama ina chip set za Zamani nafanyaje?Mkuu umeomba msaada kisha unaanza kubishia ulichoshauriwa kama vile unajua suluhisho!
USHAURI/MAONI YANGU
Hilo tatizo la wireless linasababishwa na
(1). Kukosekana kwa driver sahihi za WLAN Card, au hizo Driver zimeingia shida jaribu kufanya update au ku-reinstall upya.
(2). Wireless Adapter ya hiyo laptop imekufa:- Kanunue usb wireless adapter ipo ndogo sna unachomeka kama flash unapata net kama kawaida.
Kwa uzoefu wangu hizo Dell Latitude D830 zimetengenezwa zamani sana mwaka 2007 kwa hivyo hata kwa umri huo asilimia 80% na zaidi itakuwa imekufa hiyo wireless adapter yake.
Tatizo la kuchagua Flash na simu device za android ni drivers za hizo device hakuna ktk laptop yako au ni outdated au sio compatible na hardware yako hasa motherboard/main board yako ina chip sets za zamani.
NB: Hata kama tatizo ni OS yako lakini bado hiyo PC yako ni ya zamani sana nahisi haitakubali woindows za kisasa kama windows 10 hivyo kuna baadhi ya drivers za kisasa hasa za hizo simu(au device) zenye android za kisasa. Tueleze umeweka OS ya windows version gani?
Mkuu kifupi hiyo PC ni ya zamani inabidi ununue mpya. Kama used basi nunua at least ya toleo la 2013/2014.Kwa iyo mkuu kama ina chip set za Zamani nafanyaje?
Asantee Kwa Sasa Sina Ata pesa.. Ila vip nikiweka window haitasaidia?Mkuu kifupi hiyo PC ni ya zamani inabidi ununue mpya. Kama used basi nunua at least ya toleo la 2013/2014.
kwa vile vyuma vimekaza jaribu tu kufanya driver updates unaweza fanikiwa kwa muda.
Asantee Kwa ushauri..Hapo tia driver pack solution fanya updates zote za driver na kuinstall upya mashine itakuwa poa sana
hapo utafanikiwaAsantee Kwa ushauri..