Falzkunta New Member Joined Oct 16, 2019 Posts 4 Reaction score 4 Jul 26, 2024 #1 Habari wana JF PC yangu imekua na shida ya mstari kwenye screen na doa Jessica kwa chini. Hili tatizo nalitatua vipi wadau?
Habari wana JF PC yangu imekua na shida ya mstari kwenye screen na doa Jessica kwa chini. Hili tatizo nalitatua vipi wadau?
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,576 Reaction score 9,785 Jul 26, 2024 #2 Doa jessica ni nini?
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,267 Reaction score 25,557 Jul 27, 2024 #3 Hiyo ndiyo safari ya kwenda kufa kwa kioo, jiandae kununua kipya au used.
Anko Bantu JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 835 Reaction score 1,056 Jul 27, 2024 #4 Yaani unampenda Jessica hadi unamwandika humu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,851 Reaction score 197,456 Jul 27, 2024 #5 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw