Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,049
- 773
Naomba msaada,nimefanya Instalation ya DELL OPTIPLEX 360 kwa kutumia OS ya Window XP service pack 3.Lakini katika issue ya audio inasema kuwa No audio device
Nimejaribu kupitia Manage lakini naona divice ya audio ina alama ya njano,nimejaribu ku-update nimeshindwa ! naomba msaada
nitashukuru sana
Ebu jaribu kucheki fresh kwny sytem properties km hy ni XP park 3, maana hzo CD zinazoandikwa na mark pen huwa zina utata. Imeandikwa park3 kumbe kilichomo park
0.4
Naomba msaada,nimefanya Instalation ya DELL OPTIPLEX 360 kwa kutumia OS ya Window XP service pack 3.Lakini katika issue ya audio inasema kuwa "No audio device"
Nimejaribu kupitia Manage lakini naona divice ya audio ina alama ya njano,nimejaribu ku-update nimeshindwa ! naomba msaada
nitashukuru sana
Atakuwa ameachana na PC yake, anaangalia TBC mambo ya JK na BushByabato mbona hutujulishi umefikia hatua gani? Tujulishe mkuu
Byabato mbona hutujulishi umefikia hatua gani? Tujulishe mkuu