Pc technian !!!!! Laptop sony vaio vgn-fz38m software and hardware

Kaparatus

Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
32
Reaction score
6
Wadau nina tatizo na Laptop yangu ina zingua sana inakuwa inazima na kujiwasha na kisha inaleta blue screen na maandishi mengi sna kisha ikitulia inafanya kazi wakat mwingine inaleta mistari kwenye screen hasa napoanza kuplay video yoyote ile. mtaalamu yeyote anisadie.View attachment 84498
 
fanya hv, piga window chini.. Data zako usizidelete... Utazikuta katika "windows old" baada ya kuweka window mpya
 
Back
Top Bottom