Tatizo hilo linawakumba wengi sana wanapo kuja ofcn kwangu nakueleza matatizo kama hayo na kweli huwa yanasumbua sana kama mm mpenda magame chuza chamzingi nikushauli tu angalia fen je inazunguka na kama inazunguka basi tafuta compaund fungua pc yako weka kwenye prosesa na chipu ya vga card tatizo litakuwa limekwisha kabisa natumaini utafanikiwa bila shakaHello wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema
Kuna laptop aina ya Dell Latitude E5420 Yenye intel core i5 2nd 2.3Ghz generation na 1.6 Graphic card Ram GB4 imekuwa na hili tatizo la kuzima wakati ikicheza Pes 2016
Na tatizo hutokea kam dakika 5 tangu uanze kucheza hiyo game
Je kwa mwenye uelewa na hiyo mambo anaweza akatoa elimu juu ya hili swala kuwa linasababishwa na nini na nini solution yake
Inazima au inasleepHello wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema
Kuna laptop aina ya Dell Latitude E5420 Yenye intel core i5 2nd 2.3Ghz generation na 1.6 Graphic card Ram GB4 imekuwa na hili tatizo la kuzima wakati ikicheza Pes 2016
Na tatizo hutokea kam dakika 5 tangu uanze kucheza hiyo game
Je kwa mwenye uelewa na hiyo mambo anaweza akatoa elimu juu ya hili swala kuwa linasababishwa na nini na nini solution yake
Badilisha sleeping tymMwanga wa kwenye screen unapotea na huwez kufanya chochote mpaka uirestart
Mkuu Pc yangu inaonesha hivo kwa picha solution naombaNadhani inaoverheat. Inawezekana ikawa na tatizo katika feni, vumbi katika vents za hewa au ukosefu wa thermal fluid.
Hizo game zinahitaji dedicated graphics processing unit kama ya ATI au nVIDIA.
Kuiforcd hiyo CPU na integrated graphics card yake kucheza hizo game in high performance inasababisha joto linalotengenezwa kuwa kubwa kuliko uwezo wa laptop cooling system kudisperse. Na joto linaua electronics so PC inajizima ili kujiokoa.
Nenda kwa fundi akuchekie.
Ila pia jaribu kushusha settings za display quality ya game na pia kutocheza games PC ikiwa kitandani au kwenye soft surface ili usihe ukablock zile air vents. Pia jaribu kununua zile cooling pads zenye feni kwa ajili ya laptops.
NajuaMkuu hii inazima sio kwamba inasleep