samson sichalwe
Member
- Jul 2, 2018
- 8
- 0
Kuna pc aina ya hp ram yake ni 4,hdd 500gb na bei nzuri kabisa
Ya muda gani / ina muda gani wa matumiziKuna pc aina ya hp ram yake ni 4,hdd 500gb na bei nzuri kabisa
Iko wapi?Kuna pc aina ya hp ram yake ni 4,hdd 500gb na bei nzuri kabisa
Kuna pc aina ya hp ram yake ni 4,hdd 500gb na bei nzuri kabisa
Mkuu nahitaji PCNi ya wizi, siwezi kuipost hapa. Anayehitaji aje PM.
Punguza basi bei.Kuna pc aina ya hp ram yake ni 4,hdd 500gb na bei nzuri kabisa
Inawezekana iko Ghana tutajuaje, ila jamaa hayuko serious.Iko wapi?
Bei gani?
Au umekurupushwa?