suluta
Senior Member
- Dec 22, 2016
- 115
- 40
Wadau, laptop yangu inegoma kuBoot halaf inasema HARD DRIVE IS NOT INSTALLED. Nimeweka flash kama external drive inasoma lakini haina Windows. Na sina wataalam karibu au pahala pa kupata windows nyingine ili nipige hii chini. Ndani kuna kazi muhimu sana zilikuwa za kuprint tu nimetumia takriban miez 4 kuziandaa. Naombeni ushauri nifanyeje. Plz iwake tu nichukue kazi.
Nawasilisha
Nawasilisha