danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 572
- 131
Habarini laptopnyangu (HP probook 6360) imegoma kuwaka ghafla karibu wiki sasa .baada ya kukaa mayo muda naichunguza nikagundua vitu vichache
1. Nikichomeka charger moto unaingia na taa ya kuonesha moto unaingia inawaka kama kawaida
2. Nikibonyeza power button hakuna response yeyote inatokea lakini nikiiacha PC kama siku mbili halafu nikaja kujaribu kuiwasha kuna zile taa za kuonyesha betri limeisha charge ndo zinamulika Mara chance then zinaacha nikisema niichomeke tena kwenye moto mwendo mi uleule no response
3. Kuna button 3 upande wa kulia mojawapo ni ya kuswitch network on au off,hii nikiibonyeza taa zinawaka baada ya muda zinazima
4. Ilishawahi Fanya hivi hapo nyuma lakini ilikuwa nikiiacha kwa muda inakuja kuwaka vzur lakin safar hi I imegoma kimoja
5. Mara zote hali hii ya kujizima ilikua ikitokea kipindi cha mvua ( sina uhakika labda barid inauhusiano katika tatizo hili)
Naombeni wenye uelewa wa nini linaweza kuwa tatizo lpkwenye PC hii nimejaribu kuelezea kiufup vitu vichache nilivovigundua ili wataalamu wajue wapi pa kunisaidia,pia kama kuna MTU ana mfahamu Fundi mzuri naomba anipatie mawasiliano take ahsanteni