kama upo atown nishtue nikupe PES 2012 na Underground 2. mi sio mpenzi wa kuchezea games pc, ila nawezakukusaidia (for free) kupata game yeyote taja tu wat kinda game u want

ZOTE Tamu!! muhimu net ya ukweli wakati wa kupakua pia mashine ziwe na uwezo wa kucheza Game zenyewe(system requirement) uzuri ni kwamba katika hiyo blog wameweka detail zote.
Kazi ni kwenu!!!!!