Marregal,
Kwanza nimeipenda avatar yako, King Julien sio, haya.
Pili, to your PC.
Umesema inawaka taa ya charge, ok. na ukiwasha fans zinafanya kazi - Je, inafika mpaka mwisho aidha kwenye logon au inawaka kabisa? Kwa kusikiliza tu. au kama huwa ina logon screen, jaribu ku-time kama unweza ku-log-on kwa giza lake hivyo hivyo.
Otherwise, shida ya weza kuwa display imekufa. cables zinzopeleka signal kwenye output, (which is the screen)
Let us know symptoms za ziada kama zipo.
Yap yap,Kama ni kucheck display anaweza tafuta VGA cable au kama ana HDMI port then anaconnect kwenye external display yani LCD au CRT Monitors
hiyo cable itanipa aina gani ya respond ilinijue kuwa tatizo ni display yangu mbovu?
hellow fellaz,,, nina pc hapa ambayo nikiweka kwenye charge inareceive power na taa yake inawaka,, nikiwasha inawaka taa ya on tuu na fans vibrations zinasikika,, sasa tatizo ni kwamba ile screen haioneshi kitu kabisaa yaani nyeusi kama pc iliyozimwa na hakuna hata beep kuonesha kunaoperation inayotaka kutake place,, tusaidiane ,, tatizo laweza kuwa nini, and what should be done......
assistance hapo..