finance2014 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 314 Reaction score 79 Jun 6, 2017 #1 Habari za leo wanajamii naomba kujuzwa kuhusu suala la Paye, kama kampuni ni mpya ni lini wanafanyakazi wanatakiwa waanze kulipia, je ni pindi pale wanapoanza kulipwa mshahara au ni baada ya muda fulani
Habari za leo wanajamii naomba kujuzwa kuhusu suala la Paye, kama kampuni ni mpya ni lini wanafanyakazi wanatakiwa waanze kulipia, je ni pindi pale wanapoanza kulipwa mshahara au ni baada ya muda fulani
Gormahia JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 515 Reaction score 353 Jun 6, 2017 #2 Mshahara ule wa kwanza tu ukianza wanakata mkuu
finance2014 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 314 Reaction score 79 Jun 6, 2017 Thread starter #3 Gormahia said: Mshahara ule wa kwanza tu ukianza wanakata mkuu Click to expand... Asante mkuu
Cesc Henry Sn JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 217 Reaction score 125 Jun 6, 2017 #4 Hiyo ni unalipa pindi mshahara unapo pata...
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,053 Jun 6, 2017 #5 Pay As You Eat