Kwani cheti gani kinaokotwa?kama huna vigezo kaa kando pisha wenye vigezo waombe.pia kila mtu na taaluma yake we unataka mpaka mtu wa human resources awe na cpa?tumia kichwa chako vizuri wewe.leromez hivi mnafikiri CPA inaokotwa okotwa tuu, Eti qualification CPA. Mbona nyie hamsomi hizo CPA mnataka wenzenu tuu.
I have just acquired CPA but I dont have the experience
kwa mshahara wa hiyo kazi sidhani kama mtu mwenye CPA na 2yrs experience akaukubali......sijui lakini maana wenye njaa wako wengi , hata wenye CPA