Kutangaziwa free sidhani labda hilo tangazo liwe kwenye website yenu wenyewe,kutokana na maelezo yako inaonekana huelewi ni vitu gani vya kuangalia kabla ya kuchagua kupeleka tangazo lako sehemu fulani.
Moja ya kitu muhimu ni idadi wa watu wanayoitembela website hiyo kwa siku ,in this case kama wengine walivyosema JF itakufaa kwani inapata visitors wengi kwa siku.
site zingine labda zinazohusika na matangazo ya kazi ingawa uangalie website ikiwa na matangazo kibao uwezekano wa tangazo lako kuonwa unakuwa mdogo.
Tourism ni neno pana linajumlisha vitu vingi kwa mfano mahoteli/lodge,vivutio,usafrishaji nk hebu niambie inshu gani ya Tourism unayotaka kuitangaza.? Labda naweza nikakushauri kitu.
binads We are currently working on a similar project (unlike any other listing site you see here in Tanzania, i can give you my words, this one is going to be different), send me your email so i can give you a sneak peek, If you will be interested then we can notify you when we go live email zech@watabelabs.com then i will contact you.