Paul Makonda Mmoja alifanya mkutano mkubwa na mzito mkoani Mbeya kuliko CHADEMA waliosombelea watu mikoa yote ya nyanda za juu kusini

Sijasoma post yako yote ila ungetofautisha kwanza huyo Makonda kwasasa yuko madarakani na hao Chadema ndo wanajitafuta kuwaaminisha wananchi..

ko naamini hawawez kufanana hata kwenye sera zao.
Kumbuka mpaka sasa chadema ina miaka 32.je muda wote huo imeshindwa kujijenga katika mioyo ya watanzania?

Unachopaswa kufahamu ni kuwa CHADEMA imekataliwa na watanzania na kupuuzwa baada ya kuona kuwa ni vigeu,wanafiki na waroho na wenye uchu wa madaraka kama ambavyo kwa sasa wanapendekeza uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo.

Unakumbuka kuwa CHADEMA tangia 2008 walikuwa wakimtukana hayati Edward lowassa kila aina ya tusi,lakini ilipofika 2015 wakabadili gia angani na kusema waliyemtukana ni masafi kama malaika.sasa nani mwenye akili Timamu anayeweza kuwaunga mkono watu wa namna hiyo waongo waongo na vigeu geu na wasio na misimamo?
 
Namba ya simu mbona haionekani ?.Hili jitu ni takataka kama lilivyokuwa dampo la Tabata miaka ile.
 
Makonda sehemu anayostahi kuwepo ni jela tu akisubiria kunyongwa hadi afe
Utanyongwa wewe usiyejitambua na kuishia kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu. Mheshimiwa Makonda ni kiongozi mzalendo na mchapa kazi sana na ndio maana wananchi wanamuunga mkono na kukimbilia sana katika kumpelekea kero na changamoto mbalimbali ili awasaidie kuzitatua .
 
"
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu."

Mwisho wa kunukuu..
 
Ni mheshimiwa kwako kwa vile anakulipa posho lakini yule ni mhalifu tu, na ujue jinai haifi ipo siku atapandishwa kizimbani ,kitanzi kinamsubiri.
 
Ni mheshimiwa kwako kwa vile anakulipa posho lakini yule ni mhalifu tu, na ujue jinai haifi ipo siku atapandishwa kizimbani ,kitanzi kinamsubiri.
Mheshimiwa Makonda ni sauti ya mamilioni ya watanzania wanyonge,ni mtetezi wa watu na ni tumaini la watanzania katika kuwasemea na kupatia matumaini.ndio maana Anaendelea kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua.
 
Huyo ni mheshimiwa kwenye faragha zenu lakini before the public he is a common criminal
 
Kuna haja ya serikali kuingilia kati nani azae na nani baada ya wanaotaka kuzaa kupimwa..!! Hii itapunguza, kama si kuondoa kabisa, watu wa aina yako kuzaliwa..!!
 
Kuna haja ya serikali kuingilia kati nani azae na nani baada ya wanaotaka kuzaa kupimwa..!! Hii itapunguza, kama si kuondoa kabisa, watu wa aina yako kuzaliwa..!!
Nimekusamehe bure kabisa maana najuwa watu aina yako wapo Duniani ambapo suluhisho huwa ni kuwasamehe tu.
 
Chadema ni dude kuubwa mnoo unahangaika bule kikojozi wewe huyo nyamitako mwenyewe anakushangaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…